Is Bloomberg trying to sabotage Tanzania's economy?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
President John Pombe Magufuli is determined to ensure that All mineral extraction companies are working legally and provide what is right for poor Tanzanians especially those who lives near mining Areas.

Since his inauguration this no nonesense Tanzania president has cracked down all sorts of frauds including those done by major investors in mining sector.

Tanzania has seized a number of mineral products which through corruption and negligence of few goverment officials were smuggled by major mining companies such as Acacia and Petra diamonds.

Two presidential commitees and two parliementary committees revealed extensive fraud and underdeclaration/nondeclaration of minerals which were exported by major mining companies.

In one of his speeches President Magufuli warned that his actions can be interpreted as economic war because he knew how powerful and influencing these companies are!

I have read several articles from bloomberg since the begining of this saga,none of them showed that Magufuli's actions were good for the betterment of poor Tanzanians.

The bloomberg's position on this saga is clear ...bloomberg is pro whites...pro western,pro acacia and pro petra.

This is the economic war our president warned us,warned Africans and all good people who are against imperialists and tax evaders.

Yesterday bloomberg posted wrong data on USD -TZS exchange rates.This is very damaging to Tanzania economy be it one or two days.

BOT (Bank of Tanzania)revealed the truth but bloomberg did not apologize for the blunder!!!

My intepretation is simple and clear that bloomberg is a tool and weapon against Magufuli's efforts to liberate poor Tanzanians.

DECLARATION:Iam not such good in English language but I want the world to extract the truth from my post.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Weka kiswahili mkuu. Ueleweke..

Usisahahu, Medias na freedom of speech ya hii nchi haipo salama vilevile..

Kwahiyo Bloomberg anaweza akaonekana adui kwasababu ..kwa ikulu kumfikia na kumbania ni ngumu sana, kama wawezavyo kuzifikia Taasisi na makampuni yalio hapa nyumbani yanapokosoa ama kueleza taarifa isiyoifurahisha Ikulu.
 
USD vs TZS
 
Tutawaelezea tu
Mkuuu, watanzania wana pambana na hali zao.
Utawaeleza stori za dola wakati wao wanaijua shilingi.?

Sema mtawadanganya.. Kwasababu wala hawahitaji kujua hadithi za dola. Kwanza hawajasoma...
Mnataka kuwapotezea muda wao kuwapa mabombasitic wasioyahitaji...
Tv hawana
Radio hawana,
Simu hawana
Umeme hawana..

Watu hata darasa la saba hawajafika na wengine hata hawakwenda shule na wengine hata hicho kiswahili hawajui kukizungumza. Wanaongea kilugha tu..

Tafuteni muda mkawafundishe kuhusu:-
ukulima wa kisasa,
Chakula bora,
Ufugaji bora,
namna nzuri za uvunaji maji ya mvua,
Majiko yenye kutumia mkaa kidogo,
Utunzaji misitu na upandaji miti,
Elimu ya watu wazima,
Umuhimu wa matumizi ya vyoo,
Uzazi wa mpango,
Madhara ya ukeketaji,
Sayansi kimu,
Na gender,
Vikundi vya ushirika,
na mavitu kama hayo..

Hayo mambo ya Us Dolar na shilingi ni uchafu mnataka kuwapelekea. Wala hawahitaji kujua..
 
mkuu ...tamko la bloomberg linaweza kuwa na athari kwa watanzania wa kawaida ambao wamepata mpiganaji.

Kama hawaelewi basi inabidi tuwajulishe kuhusu unafiki wa hawa wahuni na waelezwe kuwa tutapambana nao katika hali zote hadi tukae sawa.
 
Mada hii ni kubwa sana kwa bavicha ..naasa tujiheshimu
 
Your are good buddy
Tumeelewa na hii vita sio ndogo kwani presida kaamua na sisi tumuunge mkono la sivyo tutakuwa hivi hivi miaka yote.

Ilikuwa ni vigumu kuhonga tume mbili zilizochaguliwa, hapo alicheza kama Pele
 
mkuu ...tamko la bloomberg linaweza kuwa na athari kwa watanzania wa kawaida ambao wamepata mpiganaji.

Kama hawaelewi basi inabidi tuwajulishe kuhusu unafiki wa hawa wahuni na waelezwe kuwa tutapambana nao katika hali zote hadi tukae sawa.
Well sijawahi kuwadharahu Bloomberg.
Sababu za kwanini Dolar ipande dhidi ya shilingi kiuchumi ni kwa nchi kuwa na Dollar chache za kufanya transactions na Shilingi.

So
Exports ya mazao nje imeshuka sana..
Sectors fulani fulani na biashara fulanifulani zimepoa sana..
Utaona hata bei ya vitu haipandi.. Yaani mfumuko hakuna...
Ajira hakuna..
Fursa zimwpungua...
Pale bandarini mzigo umepungua.

Kila mtu analalamika hali sio nzuri.
Hata Raisi anasisitiza hali itaendelea kua mbaya...

Lakini anaposahahu anasema mambo ni mazurii.

Em tuelimishe..
Sababu za USD kutopanda, Kama uchumi hauzu guki..? Tuweke siasa pembeni.
Tujenge hoja..
 
Ukifeli unatafuta wa kulaumu we ngoja wakose kura wewe ni kitengo chote cha buku 7 lazma mpigwe chini
 
Well sijawahi kuwadharahu Bloomberg.
Sababu za kwanini Dolar ipande dhidi ya shilingi kiuchumi ni kwa nchi kuwa na Dollar chache za kufanya transactions na Shilingi.

Ao
Exports ya mazao nje imeshuka sana..
Swctor fulani fulani na biashara fulanifulani zimepoa sana..
Pale bandarini mzigo umepungua.

Kila mtu analalamika hali sio nzuri.
Hata Raisi anasisitiza hali itaendelea kua mbaya...

Lakini anaposahahu anasema mambo ni mazurii.

Em tuelimishe..
Sababu za USD kutopanda, Kama uchumi hauzu guki..?
Sijaongelea kwa muktadha wa kupanda kwa dola tu..nimeongelea trend ya bloomberg dhidi ya Tanzania hasa hasa baada ya sakata la makanikia
 
Sijaongelea kwa muktadha wa kupanda kwa dola tu..nimeobgelea trend ya bloomberg dhidi ya Tanzania hasa hasa baada ya sakata la makanikia
Lakini labda hukufuatulia pia kwamba ilitangazwa kua ACACiA walipata hasara pia baada ya shares zao kushuka kule london kutokana na hili sakata la makinikia..

Uka focus kwenye kuona Bloomberg wakiikosoa Tanzania.
Lakini ni lini Tanzania hii ya kuanzia 2015 ili entertain criticisms dhidi yake?

Dangote rafiki wa jpm naye hakubaki nyuma kuelezea hisia zake..
 
Back
Top Bottom