jamani maswali kama haya muwe munaenda website official za hizo laptop.
Mfano mi nimeingia tu website ya acer kuitafuta tu hio laptop juu kumeandikwa wao acer wanarecomend ku-upgrade kwenda windows 8 kwa watumiaji wa hio laptop uloitaja.
Technically laptop zote za windows 7 zinasuport windows 8