Irony is how Tanzanians are not obsessed with Kenya!

Hehehe!! Mnataka tuje huko, mimi huwa nanusia nusia huko japo kimya kimya nikitaka kujikumbusha mambo ya Bongo. Hususan jukwa lenu la siasa.

Anyway sasa hivi kuna mengi ya kuwaza kuhusu Kenya yetu hatuna muda wa kufuatilia ya kwenu.
 
You started well, "I could be wrong". and you are
I do not have a database for all Kenyan jf members so I could have missed one or two comments from a Kenyan in Tanzanian sections but for those I know, sijawai kuwaona
 
Wakenya ni wabaguzi
Maoni yako hayo au kuna utafiti uliofanywa na matokeo bado hayajatangazwa?

All the tens of millions of Kenyans are like that? I reckon you've interacted with less than 1% of Kenyans btw
 
Upande wakenya umetumika kama kichaka cha kutukana watanzania. Cha kuchekesha ni kwamba, when we answer back, wanalia kama watoto. (Any one remember this "mkenya usiweke comment hapa")
 
Back
Top Bottom