Hezbollah, Hamas wote wanapata backup toka Iran. Hezbollah wapo vizuri. Hamas walitegemea Nework tannel kama ngao, lakini naona kwa sasa Hamas wanakimbilia mashuleni na mahospitalini kujiokoa. Tunnel network ishazibitiwa tayari.Hezbollah yupo far more advanced kuliko Hamas
Analeta udini kwenye nchi ambyo hata haitaki kumskia huyo yesuTatizo nini?
Israel si chochote si lolote. Ni propaganda tu.kama Israel inazo hizi sifa,kwa nn marekani anahangaika kutwa kucha anapeleka siraha Israel?Ata sioni cha kusifia hapo,kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??
Ukiachana na Iron dome wana mfumo mwingine unaoitwa Arrow 3.Mfumo wa ulizi wa Israel ni 55% kwa sofiscated weapons, kwa local made weapons uko 88% bado hapo hauwezi kutoa matokeo 100%, isreal kupewa nafasi ya 18 duniani kwa jeshi bora is over rated.
Iron Dome,ipo kisaikolojia zaidi ya kivitendo,ntafafanua,ninaposema kisaikolojia nina maanisha serikali ya Israel imeweka mitambo ya kudengua makombora ya adui,unaoitwa Iron Dome ili kuwa Hadaa wananchi wake kwamba wako salama serikali inawajali kwa kuwalinda dhidi ya makombora ya adui,lakini kiuhalisia mtambo huo ulizidiwa uwezo Hamas walipo fire makombora 5000 hewani ndani ya dakika chache.JF,
Kuwekeza kwenye elimu na uvumbuzi ni kitu muhimu sana kwa Taifa lolote lile, leo hii katika mifumo dhabiti duniani ya kutunguaji makombola kama utayataja basi huwezi kuiacha The Irone Dome ya wa Israel. Mfumo huu imesaidia sana kuyatungua makombola zaidi ya 5,000 yaliyotumwa ndani ya sekunde 20 na HAMAS siku ya uvamizi. Usahihi wa Irone Done ni zaidi ya asilimia 90. Kama yangetua yote basi leo Israel haingekuwepo kwenye uso wa Dunia hii, yangekuwa ni majivu.
Ulinzi wa Anga: Irone Dome imeundwa kwa sehemu kuu tatu: Gundua, Amua, Zima
Mfumo wa ulinzi wa anga una vipengele vitatu muhimu. Kwanza, kuna rada za kugundua, kutambua na kufuatilia makombora yanayoingia. Upeo wa rada hizi hutofautiana. Rada ya Iron Dome inafanya kazi kwa umbali wa maili 2.5 hadi 43.5 (km 4 hadi 70), kulingana na mtengenezaji wake Raytheon. Mara tu kitu kimegunduliwa na rada, lazima ichunguzwe ili kubaini ikiwa ni tishio. Taarifa kama vile mwelekeo na kasi hutumika kufanya uamuzi huu.
Ikiwa kitu kitathibitishwa kama tishio, waendeshaji wa Iron Dome wanaendelea kufuatilia kitu kwa rada. Kasi ya kombora inatofautiana sana, lakini ikichukulia kasi ya uwakilishi ya futi 3,280 kwa sekunde (km 1/s), mfumo wa ulinzi una angalau dakika moja kujibu shambulio.
Sehemu kuu ya pili ya mfumo wa ulinzi wa anga ni kituo cha udhibiti wa vita (battle control center). Kipengele hiki huamua njia inayofaa ya kuhusisha tishio lililothibitishwa. Inatumia taarifa ya rada inayoendelea kusasishwa ili kubaini jibu mwafaka katika suala la mahali pa kurusha makombora ya vipokea sauti na ngapi ya kurusha dhidi ya kombora linaloingia.
Sehemu kuu ya tatu ni kombora la kuingilia yenyewe (interceptor). Kwa Iron Dome, ni kombora la ajabu lenye vihisi joto. Vihisi hivi hutoa masasisho ya ndani ya ndege kwa kipokezi, kikiiruhusu kuelekea na kukaribia tishio. Kinasaji hutumia fuse ya ukaribu iliyowashwa na rada ndogo ili kulipuka karibu na kombora linaloingia ili isilazimike kuligonga moja kwa moja ili kulizima.
View attachment 2808407
kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??
Hawana Irone dome moja kwa nchi nzima, zipo installed kadhaa na zinafanya kazi wa usahihi. Ukiwa na mfumo wa ulinzi ambao unadhibiti walau 60% ya kakombola basi wewe upo salama.Una hoja mkuu, mfano wapambane na Hezbollah (total war) yenye makombora 150,000 tena mengi ni 'precious guided missiles', hizo Iron dome lazima zizidiwe tu na miji yao mingi itaharibiwa.
Kiufupi hamna bado mfumo wa ulinzi ulio 100% 'perfect'.
T14 Armata
Technology yao is not appropriate au proportionate, hiyo ni poor military planning and badgeting kwa njia hiyo huwezi kusustain vita kwa mda mrefu, kama Urusi anavo fanya, huwezi kudungua drone ya $ 100 kwa kutumia kobora linalo rushwa na ndege ya F 16, its military foolishness and extravagant, ni sawa sawa kuwinda na kuua mbu na Ak 47......kwa hiyo Isreal hajajianda kwa vita ya mda mrefu watafilisika tu.
Mtu mweusi sio mpumbavu , ni Lofa!Mtu mweusi sio mjinga, ni mpumbavu