Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 738
- 2,465
I like Tyson....though, I respect Ally.
Ally.. hakustaafu ndondi kwasababu ya kuzorota kwa afya yake, fuatilia vizuriKuna Mwamba alimpiga Ali alikua anaitwa Larry kama sijakosea na haukupita muda mrefu Ali alistaafu ndondi kutokana na afya yake kubadilika.Kipindi hicho Tyson ndo anachipukia na alimuahidi Ali kua atamlipizia kisasi kwa huyo mwamba, mwisho wa siku Tyson akakutana na Larry sikumbuki kama alimaliza round ya kwanza.
Binafsi nimefurahishwa saana na mwisho wa huyu mwamba.. muhammadi Ally,Wasalaam mazee,
Natumai muwazima wa afya tele kabisa na mambo yanakwenda sawa bin sawia...
Sikulaumu kwa kuamini kwamba Tyson ni bora kuliko Muhammad Ali. Mwenyewe umesema kwamba umeanza kufuatilia ngumi hivi karibuni.Wasalaam mazee,
Natumai muwazima wa afya tele kabisa na mambo yanakwenda sawa bin sawia.
Kipindi anapigana Muhammad Ali mimi sikuwepo lakini sababu ya mambo ya utandawazi uliopo sazi nimebahatika kuangalia mapambano mengi sana ya Muhammad Ali kama nikikuwepo vile na kiukweli jamaa alikuwa anajua na alizikonga nyoyo za mashabiki haswa.
Lakini pia nimebahatika kufuatilia mapambano mengi sana ya Mike Tyson ambayo sikuyaona lakini kwa msaada wa mtandao nimeyaona yote kama nilikuwepo vile wakati kwa umri wangu nimekuta Mike Tyson ndiyo anaishia ishia hivi lakini kupitia mitandao nimeyaangalia mapambano yake yote ya nyuma kama nilikuwepo vile.
Tuje Muhammad Ali Vs Iron Mike Tyson.
Wazee nafikiri Muhammad Ali anapewa heshima yake na kuangaliwa na wengi kama kivutio cha mchezo wa ngumi sababu yeye ndiye alisababisha mchezo huu kuanza kufuatiliwa na kuwa mchezo namba mbili wenye mashabiki wengi zaidi duniani ukitanguliwa na mpira wa miguu ambao ndio unashikilia nafasi ya kwanza.
Ila kuikweli Mike Tyson alikuwa anapiga ngumi mazee. Aisee ngumi za Mike Tyson zilikuwa zinasisimua mzee, yani mtu anakula kichapo mpaka unaeangalia kama una roho nyepesi unaweza kufunga macho usione mtu anavyokufa live.
Kwa upande wangu ukiwapambanisha hawa wawili kama wangekuwa katika era moja na kwa mapambano yao niliyoyaona wakipigana basi Muhammad Ali naamini angechakazwa vilivyo na Iron Mike Tyson. Tyson alikuwa na style yake hatari sana ya kupigana inayojulikana kama ”Peek A Boo.” Hii ni moja kati ya style ngumu inayowashinda mabondia wengi kuimaster hivyo ukimtoa aliemfundisha Tyson bwana D’Amanto hakuna bondia yeyote yule anayeiweza style hii zaidi ya Tyson mwenyewe.
Sijajua kama huu ni mtazamo wangu tu au kuna wengine wanaliona hili.
simshushi cheo Muhammad Ali, atabakia kuwa mtangulizi aliesababisha mchezo huu kupendwa na watu wengi zaidi ilaaaa narudia tena ilaaaaa Mike Tyson alikuwa anapiga ngumi bwana, wacha kabisa.
Yah,katika mechi hiyo Larry Holmes alileta kiburi mno kwa Ali mpk akapaniki na kumwambia I'm your master dogo acha kiburi Ali alipigwa huku Tyson akiwa bado janki anacheki kwenye Tv akisema huyu kima kampiga star wangu ipo siku nitalipa kisasi.Kuna Mwamba alimpiga Ali alikua anaitwa Larry kama sijakosea na haukupita muda mrefu Ali alistaafu ndondi kutokana na afya yake kubadilika.Kipindi hicho Tyson ndo anachipukia na alimuahidi Ali kua atamlipizia kisasi kwa huyo mwamba, mwisho wa siku Tyson akakutana na Larry sikumbuki kama alimaliza round ya kwanza.
Tyson ni mzuri kuliko Ally hilo liko wazi.Sikulaumu kwa kuamini kwamba Tyson ni bora kuliko Muhammad Ali. Mwenyewe umesema kwamba umeanza kufuatilia ngumi hivi karibuni.
Si kweli kwamba Muhammad Ali ndiye aliyefanya mchezo wa ngumi kuwa maarufu. Boxing ni mchezo maarufu duniani kabla ya era ya kina Ali. Jaribu kufuatilia historia utasikia watu kama kina Rocky Marciano, Joe Louis, Jack Dempsey, Sonny Liston, Floyd Petterson, Max Schmelling, Joe Walcot na wengieo ambao walikuwepo kabla Ali hajaja.
Njia bora ya kumlinganisha Tyson na Ali si tu kuangalia alishindaje bali pia alipigana na kina nani. Era ya kina Ali ilijaa boxers wenye uwezo mkubwa kuliko era ya Tyson. Ali alipigana na miamba kama Sonny Liston, Joe Frazier, Leon Spinks, Ken Norton, George Foreman na Ernie Shavers ambao wote ni Hall of Famers. Ukiondoa Evander Holyfield na Lennox Lewis, ambao wote walimpiga, Tyson alipigana na boxers wengi ambao walikuwa just average.
Larry Holmes.Kuna Mwamba alimpiga Ali alikua anaitwa Larry kama sijakosea na haukupita muda mrefu Ali alistaafu ndondi kutokana na afya yake kubadilika.Kipindi hicho Tyson ndo anachipukia na alimuahidi Ali kua atamlipizia kisasi kwa huyo mwamba, mwisho wa siku Tyson akakutana na Larry sikumbuki kama alimaliza round ya kwanza.
NakaziaSikulaumu kwa kuamini kwamba Tyson ni bora kuliko Muhammad Ali. Mwenyewe umesema kwamba umeanza kufuatilia ngumi hivi karibuni.
Si kweli kwamba Muhammad Ali ndiye aliyefanya mchezo wa ngumi kuwa maarufu. Boxing ni mchezo maarufu duniani kabla ya era ya kina Ali. Jaribu kufuatilia historia utasikia watu kama kina Rocky Marciano, Joe Louis, Jack Dempsey, Sonny Liston, Floyd Petterson, Max Schmelling, Joe Walcot na wengieo ambao walikuwepo kabla Ali hajaja.
Njia bora ya kumlinganisha Tyson na Ali si tu kuangalia alishindaje bali pia alipigana na kina nani. Era ya kina Ali ilijaa boxers wenye uwezo mkubwa kuliko era ya Tyson. Ali alipigana na miamba kama Sonny Liston, Joe Frazier, Leon Spinks, Ken Norton, George Foreman na Ernie Shavers ambao wote ni Hall of Famers. Ukiondoa Evander Holyfield na Lennox Lewis, ambao wote walimpiga, Tyson alipigana na boxers wengi ambao walikuwa just average.
Umeweka interview ya Ken Norton halafu unasema ni ya George Foreman. Hilo peke yake linanipa mashaka juu ya uelewa wako kuhusu boxing.Tyson ni mzuri kuliko Ally hilo liko wazi.
Ally alikua celebrity boxer ila kwa uwezo Tyson ni mzuri kuliko Ally.
Ally alikua anabebwa sana na marefa.
Msikilize hata G. Foreman anasema hapaa.
Wanakera sana ila ukweli ni kwamba Mike ni zaid ya Ali alafu ukianglia jinsi Mike anavopigana ile style ni hatari sana hakuna bondia mwenye style nzuri kama yeyeSiku zote ukioambanisha old school na kizazi kipya usitegemee kizazi kipya kushinda
Wazee wanajipendelea sana.utasikia mziki ulikuwa zamani sio siku hizi.mara ohh mpira ulikuwa enzi zetu bwwna siku hizi hamna kitu
Kwa muktadha huo mohamed ali atatetewa sana humu na wazee
Ukiacha Evander Holyfield na Lennox Lewis ni bondia gani wa maana ambaye Tyson alipigana naye? Peter McNeely? Bruce Seldon? Please ...Wanakera sana ila ukweli ni kwamba Mike ni zaid ya Ali alafu ukianglia jinsi Mike anavopigana ile style ni hatari sana hakuna bondia mwenye style nzuri kama yeye