Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
izo F-16 zilishawahi kutumika kwenye mission wapi zikafail?...alafu tutuwezaje kufanya comparizon na kitu ambacho hatujawahi kukiona kikifanya kazi vitani?..s-300?mada kama inavyoeleweka naomba tujadili ni.mfumo upi bora kati ya iron dome na s-300
jee iran baada ya kupata s-300 mfumo huu unaweza kukinga ndege za israel za f-16 zisipige iran?
karibuni sana tueleweshane juu ya hili
ahsanteni
S-300 ni defensiveIron dome imetengenezwa kwa purpose ya ku-intercept short Range target kwa ubali usiozidi kilomita 70 ku-intercept vitu kama Artillery shells,katyasha rockets na missle ndogodogo lakini ukicheck S-300 ni zaidi ya hapo kwa upande wa range, pia ina uwezo zaidi achana ku -intercept pia ku-Attack
inaweza kupiga ingawa f-16 na f15 za israel wenyew IDF wameziequip na additional capabilities kuzisaidia pale zinpo encounter advanced air defense mfano kwe ile operation ochard israel walitumia F-16 NA F-15 japokua waliimbia kwe anga iliokua protected sana..kiujumla S 300 ni hatari kwa aicraft ambazo c stealth au zile ambazo hazina low observable capability,kwa iron dome c sahihi kuifananisha na S300,Coz s300 kwanza ina radar nying ambazo zko designed kudetect na kudestroy aircraft cruise missiles na ballistic missiles wakati IRON DOME NI KWA AJILI ya rockets na pia ina short range km 70km hivi,anti balistic capability za S300 inabidi kufananishwa na za ARROWS SYSTEM kwa upande wa israel c irom domeMada kama inavyoeleweka naomba tujadili ni, mfumo upi bora kati ya iron dome na s-300
Je, Iran baada ya kupata s-300 mfumo huu unaweza kukinga ndege za Israel za f-16 zisipige Iran?
Karibuni sana tueleweshane juu ya hili
Ahsanteni
[emoji2] [emoji2] [emoji2]😀😀 S-300 ni balaa aise, hicho ki iron dome cha izlael kina uwezo wa kuzuia rockets from Gaza only.ni sawa sawa na Lion ♢ mbwa koko uwalinganishe yupi mwenye uwezo wa kukamata nyumbu
Iron dome imetengenezwa kwa purpose ya ku-intercept short Range target kwa ubali usiozidi kilomita 70 ku-intercept vitu kama Artillery shells,katyasha rockets na missle ndogodogo lakini ukicheck S-300 ni zaidi ya hapo kwa upande wa range, pia ina uwezo zaidi achana ku -intercept pia ku-Attack
Mkuu tuache Sie wengine tumesogeza madarasa kwa ajili ya sifa tu kitaa Fulani ana digirii,dokta na sifa jf yaani elimu zetu hazina msaada kwetu wala ktk familia zetu tuache tu mkuuWaTz tupo vizuri kuelezea teknolojia nzito nzito, ila sisi na maprofesa wetu tunafeli kutumia teknolojia hizo kutengeneza silaha zetu pamoja na digree program kali kali zitolewazo na vyuo vyetu. Huko Ghaza vijana wanatumia elimu yao kujitahidi kutengeneza silaha zao wenyewe. Utashangaa huyo kamanda mkuu wa Hamas Mohammed Deif yeye ana Bachelor degree in Science (Physics, Chemistry and Biology). Lakini ufanisi ktk kutumia elimu yake kutatua changamoto za kiusalama, kivita n.k ni wa ajabu.
Iron dome imetengenezwa kwa purpose ya ku-intercept short Range target kwa ubali usiozidi kilomita 70 ku-intercept vitu kama Artillery shells,katyasha rockets na missle ndogodogo lakini ukicheck S-300 ni zaidi ya hapo kwa upande wa range, pia ina uwezo zaidi achana ku -intercept pia ku-Attack
nipe muda kidogo,nipo naandaa RC defensive system for Tz;WaTz tupo vizuri kuelezea teknolojia nzito nzito, ila sisi na maprofesa wetu tunafeli kutumia teknolojia hizo kutengeneza silaha zetu pamoja na digree program kali kali zitolewazo na vyuo vyetu. Huko Ghaza vijana wanatumia elimu yao kujitahidi kutengeneza silaha zao wenyewe. Utashangaa huyo kamanda mkuu wa Hamas Mohammed Deif yeye ana Bachelor degree in Science (Physics, Chemistry and Biology). Lakini ufanisi ktk kutumia elimu yake kutatua changamoto za kiusalama, kivita n.k ni wa ajabu.