Mkuu, nimepitia website alizotoa kiongozi hapo juu. nimeziona IRIS I na II.
Mimi pia niliitafuta sana hiyo II, sikujua kama imetoka mpaka leo. check humo kwenye "gooddrama" utaipata.
Asante kiongozi. Mimi naomba nitafutie "Marshland" ya kiingereza. Nilizofanikiwa kuziona ni za kihispania na lugha nyingine japo zipo zenye sub tittle za kiingereza.