Iringa vijijini mnazingua

Iringa vijijini mnazingua

Ingia exotic tafuta mmoja msafirishaji mpaka pawaga ukishindwa nenda Miami bar au stereo bar
 
Mzee siku nne tu unajichukulia sheria mikononi? Mzee tafakari kabla hujashtakiwa na nafsi yako
 
Hao watu wa pawaga hapo wapo vizuri wameshavuna mpunga na mahindi utawaambia nini..
Apa iringa mjini kuna mizigo mimgi sema nikuagizie mmoja hadi hapo pawaga.

Muonekano sio shida unaufifisha kidogo na mavazi mkuu,
Ila kilabuni kuna visa sana bora utafute bar
Kamwene mwiyangu!
 
Pawaga hapo Itunundu yanapolala mabasi pana mabaa yamechanganya na mademu kibao hasa msimu huu wa mavuno wewe unaonekana sio muwindaji kabisa
 
Back
Top Bottom