IRINGA UNIVERSITY WASALITI.

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,509
12,849
Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
 
Hiv ww unavyoona ameisaidia jamii katka kuyatambua haya makosa au usaliti.
Usisitutukane wanafunz wa pale nyambafu.
Japokua first year
 
Achen kussuport ule upumbav uon mpaka serikal imeingilia Kat.
Wanafunz wa udsm wana matatzo sana. Kama unaweza kumpiga mtoto wa mwenzako vilee duuu ule n unyama.
Shule kama ipo Somalia.
Wanafunz wa uteacher udsm shame to you
 
Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Nafikiri ni UTOTO unaokusumbua...
Ukija kuwa na UWEZO wa kutengeneza mimba, utajua kwamba ulichokiandika ni UPUUZI wa kiwango cha LAMI...
Kwasababu ni pale unapoanza kuwa na uwezo wa kutengeneza MTOTO, ndipo unapoanza kuona THAMANI ya MTOTO..!
 
Aliye rekodi mwenyewe hata hakuwa na nia ya kusema aje aitoe ili watu washughulikiwe na siajabu na yeye mwenye alishangaa iko hewani, kwani tukio ni la tarehe 28/9 video imetoka leo kwa tukio kubwa kama hilo angelipiga hewani mapema ningemsifu zaidi
Japo hata hivo kasaidia tukio likaonekana, better late than never
 
Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Mchomaji mcheki fb anajiita esther harembo
 
Acha kuwaita wa iringa University wasaliti ebu waza yule mwanafunzi Angekua ndugu yako ama mwanao ungejisikiaje. Iyo ndo falsafa yao Maadili Kwanza. Let's us to change our community.
 
Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Wewe ni Mtz au unatoka Somalia?
 
Seems imewauma sana walimu hilo swala la mwenzenu kupost hyo video enhee?
Bas kuna mengi yanayoendlea ndan ya staff room
 
Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Sasa wewe ulitaka ifichwe ili iwe nini na kwa faida gani hasa!? Huyu alikerwa na uhuni ule na akachukua hatua wewe unatetea!? Au ulitaka awe Kama yule Mwalimu aliyetoa ushahidi wa kuwa alikuwa akipewa pesa ili awapeleke watoto wadogo wanafunzi wake kwa watuhumiwa wa kesi ya urawiti na udharirishaji wa kingono!?
Kama mojawapo ya Sifa za ualimu ni kuwa mnafiki na kuficha maovu basi bora Yeye aliye-usaliti uzandiki huo.
 
Somo la professional ethics and conduct hajalielewa vizuri huyo denti wa Iringa uni. Hata kama alitaka kuwa whistle blower, its better ile video angeipeleka sehemu husika na si kuisambaza ovyo. Watanzania wengi kwa ujumla wanahitaji semina elekezi katika matumizi ya teknolojia hizi mpya.
Wasalaam
 
Back
Top Bottom