Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Ila Dodoma mmh pagumu sana, muda nilioishi pale niliona shida sana yaan ilifikia kipindi ukifika Dar unahisi tofauti ya ngozi
 
Dodoma hii hii au, Dom city patamu kwa kweli labda kama mtu ulikuja miaka ya nyuma ila sasa hivi ku compare na Iringi sio haki labda kwenye usafi iringi iko vizuri
 
Kwanza kabisa tutambue kwamba uzuri wa sehemu kwa binadamu yoyote yule huangalia vyanzo vya mapato binafsi na shughuli gani zitamwingizia kipato. Kiuchumi na ukitaka kutoka kimeisha kwa malengo ya muda mfupi na mrefu basi nenda Iringa ila kama kuzurula na kuangalia majengo ya serikali nenda dodoma. Dodoma inabebwa na UDOM na vyuo vingine na ukitaka kulijua hilo nenda mwezi wa 8 utapachukia siku moja tu
 
Sijui mbeya, Dom, arusha, Tanga hapo hakuna jiji hata moja zote ni manispaa zilizochangamkaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siasa ni mbaya sana mkuu.

Sijui ilikuwaje ikapewa jiji 🀣🀣 aise hizi siasa, basi tu 🀣🀣
 
Achana nao hao mimi nipo iringa hakuna kitu kuna mtu anaifananusha moshi mjini na iringa mjini huwezi kbsa kbsa kuifanya iringa mjini kuwa kama moshi
 
Arusha hapo inakuwa ya kwanza then mbeya then Dodoma Tanga bado

Angalau umeongea mkuu,, kuna MIMANGI mingine from nowhere ingekuja hapa kusema arusha ni zaidi ya mwanza na dar 😁😁😁 battle zao huwa zinanishangaza sana
 
Haya jadi leo utasema Iringa ni pazuri kuliko Dodoma? Maana mambo yamebadilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…