The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Nipo mjini hapa jimbo la Iringa Mjini Polisi wanarusha mabomu kutawanya watu.
Mabomu yakirindima c dalili nzuri kwa upinzaniNipo mjini hapa jimbo la Iringa Mjini Polisi wanarusha mabomu kutawanya watu.
Huyo muuza maziwa halali kuhakikisha Msigwa hashindi
Nipo mjini hapa jimbo la Iringa Mjini Polisi wanarusha mabomu kutawanya watu.
ASAS ataleta vita IRINGA...!!
ASAS ataleta vita IRINGA...!!