Mimi bado sielewi kwa ni nini waarabu/waislamu (baadhi yao lakini) wanapenda sana kujilipua na kulipua wenzao wasio na hatia. Nielewesheni jamani-hivi hakuna njia nyingine mbadala ya kufikisha ujumbe mpaka uue watu? Angalia link hii. BBC NEWS | Middle East | Iran: Many die in Zahedan mosque bombing

Buchanan!
Pole sana ! Hii thread inagusa imani za watu!
Please be careful!! Kwanza Waarabu wote sio waislam!! fine?
Sio vizuri kuwahaukumu waarabu wote!
Kwa faida yako na wengine jibu la barbaric actions of the killings is simple just take some time out and galnce at the Muslim Calendar kama sijakosea wako kwenye karne ya 15.
Msicheke go back to history wale ambao hamkusoma pamoja na vijana wa siku hizi ambao wanachagua combination wakiwa darasa sijui la saba au form one tutawaacha solemba.
Katika karne hiyo kulikuwepo na watu kuuana kama mchezo. Just imagine mkigombania mwanamke mnachukua mikuki/mishale au bastola na kulengana anayewahi anashinda ukichelewa kufyatua inakula kwako!
Kwa hiyo sababu ya kujitoa mhanga ni mafunzo tu ya dini kwamba ukifanya hivyo unakwenda ahera moja kwa moja!! Look at the age of the boys and girls its underage!!! Kwaheri!!!
Kama umetoa malalamiko yako na bahati mbaya hujasikilizwa, kwa nini unaenda kulipua watu wasiohusika sokoni, kwenye basi, msikitini, etc? Si ujilipue peke yako uache wengine waendelee na maisha yao?
Naona mjadili taarifa bila kuisoma vyema. Hao waliolipua ahuo msikiti ni wakora tu tena inadaiwa ni wauza madawa ya kulevya, hivyo si sahihi kusema habari za kudai haki etc
Ndugu nakubaliana na wewe kidogo sana ila nakupinga kwa swala la kuwa ni kwaajili ya barbaric character. Hiyo ni kasumba ya weterns kuwa ona wengine wako nyuma kimaeendeleo na kuifanya dunia nzima kuamini maendeleo ni kwa mtazamo wa kiwestern. Rudi kwenye hiyohiyo History utaona kuwa hao unaowaita wako kwenye karne ya 15 ndiyo ambao walikuwa civilised kabla ya hawa unaodhani ndo wameenedelea. Maendeleo ni perception na ukichukulia kwa benchmark ya kiwestern wao watakua nyuma ila ukichukulia ki wao then jua kama dunia yote ingekubali development in their perspective pengine tungekuwa better off ki ustaarabu kuliko sasa hivi. So wazungu waliwazidi kete kwa kumanipulate brain ya watu wengi duniani. Ila utaona wajanja wanaogundua wanaanza kutoka kivyao sisi akina subira ndo tunaenaendelea kuomba kutolewa sasa hata kama ni wewe mwanafunzi alishawahi kumshinda mwalimu wake kwenye mtihani aliotunga huyo MWL? Labda kama ukinihakikishia kuna aliye wahi kupata 150% kwenye exam then hizo 50% ni ujuzi kumzidi mwl.
Iran ni dola ilikuwa inaitwa Persia nayo ilikuwa imestaarabika sana pamoja na Egypt and then Rome kama naikumbuka historia yangu vizuri. Kumbuka Egypt ndiyo yakwanza kuleta technologia ya maandishi na kalenda sasa wewe ukiona kalenda ya wazungu ndo sahihi ukaidharau ya Ethiopia; Nepal; Vietnum na kwingine basi jua wao hawakutawaliwa na wazungu ndo maana thinking yao ina evolve kwenye right direction kuliko yako ambayo ilikuwa interfered na bado hawakupi nafasi ya uhuru wa kufikiri ndo maana wanakuzidi kitechnologia kila mara. Thet know this; thats why they train us so that we can think behind them and become market of their innovations. So we are trained to consume and not to produce. Elewa hilo ukielewa umekombolewa na utajua jinsi ya kujinasua kwenye hii neo colonialism.