Iran's Mosque bomb blast | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran's Mosque bomb blast

Discussion in 'International Forum' started by Buchanan, May 29, 2009.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
 2. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Buchanan!

  Pole sana ! Hii thread inagusa imani za watu!

  Please be careful!! Kwanza Waarabu wote sio waislam!! fine?
  Sio vizuri kuwahaukumu waarabu wote!
  Kwa faida yako na wengine jibu la barbaric actions of the killings is simple just take some time out and galnce at the Muslim Calendar kama sijakosea wako kwenye karne ya 15.

  Msicheke go back to history wale ambao hamkusoma pamoja na vijana wa siku hizi ambao wanachagua combination wakiwa darasa sijui la saba au form one tutawaacha solemba.

  Katika karne hiyo kulikuwepo na watu kuuana kama mchezo. Just imagine mkigombania mwanamke mnachukua mikuki/mishale au bastola na kulengana anayewahi anashinda ukichelewa kufyatua inakula kwako!

  Kwa hiyo sababu ya kujitoa mhanga ni mafunzo tu ya dini kwamba ukifanya hivyo unakwenda ahera moja kwa moja!! Look at the age of the boys and girls its underage!!! Kwaheri!!!
   
 3. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Zipo njia nyingi za kufikisha ujumbe.kama unanguvu za kijeshi unaweza kuivamia IRAK ukawauwa waarabu/waislam. Kisha AFGANSTAN halafu Palestina kwa kila moja anatumia njia anayoiyona ina wepesi kwake, kwa hiyo kama ni mjadala basi tuwajadili wote! Hata wale wanao wauwa warabu/waislam kati nchi zao nao pia tuwashangae
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  May 29, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Yes, tuwajadili wote. Kuna wanaopigania maslahi na wanaopigania vinginevyo.
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2009
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Kuna wanaooua kwa imani yao; lakini wao wakitishiwa kuuawa wanakimbia!
   
 6. F

  Felister JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwataarifa tu Iran siyo waarabu jaribu kutafiti ni watu gani. Pia si wairan wota ni waislam so hiyo tu inakupa picha kujilipua si uislam wala uarabu bali ni expresion ya oppressed freedom of expression haiangalii ukabila rangi au utaifa bali nia hali ya kukata tamaa kwakutokusikilizwa maoni yako.

  Hata kwetu kwanini pamoja na vitendo vyote vya vibaka kuchomwa moto kwanini wanaendelea kuweka rehani maisha yao? Mtu anaiba simu ya sh. 50000 na kurisk maisha yake kwa gharama ya kifo what do u learn there. Kabla ya conclusion jaribu kuwa mtafiti na kuavoid myths ambazo hazina facts.
   
 7. F

  Felister JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndugu nakubaliana na wewe kidogo sana ila nakupinga kwa swala la kuwa ni kwaajili ya barbaric character. Hiyo ni kasumba ya weterns kuwa ona wengine wako nyuma kimaeendeleo na kuifanya dunia nzima kuamini maendeleo ni kwa mtazamo wa kiwestern. Rudi kwenye hiyohiyo History utaona kuwa hao unaowaita wako kwenye karne ya 15 ndiyo ambao walikuwa civilised kabla ya hawa unaodhani ndo wameenedelea. Maendeleo ni perception na ukichukulia kwa benchmark ya kiwestern wao watakua nyuma ila ukichukulia ki wao then jua kama dunia yote ingekubali development in their perspective pengine tungekuwa better off ki ustaarabu kuliko sasa hivi. So wazungu waliwazidi kete kwa kumanipulate brain ya watu wengi duniani. Ila utaona wajanja wanaogundua wanaanza kutoka kivyao sisi akina subira ndo tunaenaendelea kuomba kutolewa sasa hata kama ni wewe mwanafunzi alishawahi kumshinda mwalimu wake kwenye mtihani aliotunga huyo MWL? Labda kama ukinihakikishia kuna aliye wahi kupata 150% kwenye exam then hizo 50% ni ujuzi kumzidi mwl.

  Iran ni dola ilikuwa inaitwa Persia nayo ilikuwa imestaarabika sana pamoja na Egypt and then Rome kama naikumbuka historia yangu vizuri. Kumbuka Egypt ndiyo yakwanza kuleta technologia ya maandishi na kalenda sasa wewe ukiona kalenda ya wazungu ndo sahihi ukaidharau ya Ethiopia; Nepal; Vietnum na kwingine basi jua wao hawakutawaliwa na wazungu ndo maana thinking yao ina evolve kwenye right direction kuliko yako ambayo ilikuwa interfered na bado hawakupi nafasi ya uhuru wa kufikiri ndo maana wanakuzidi kitechnologia kila mara. Thet know this; thats why they train us so that we can think behind them and become market of their innovations. So we are trained to consume and not to produce. Elewa hilo ukielewa umekombolewa na utajua jinsi ya kujinasua kwenye hii neo colonialism.
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  May 29, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kama umetoa malalamiko yako na bahati mbaya hujasikilizwa, kwa nini unaenda kulipua watu wasiohusika sokoni, kwenye basi, msikitini, etc? Si ujilipue peke yako uache wengine waendelee na maisha yao?
   
 9. F

  Felister JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unalipua wanaosaidia hiyo hali kuendelea na kwakuwa unajua hutashinda kesi na wewe unajilipua ili wanaobaki wajifunze na kuwa na better life. Hii ni kwa mtazamo wangu kutokana na matukio halisi si lazima niwe sahihi ila usahii tungeupata kwa wale walio atempt na kupewa fursa ya kuexpress their feelings bila shinikizo. So hiyo ni area to research kama unainterest chukua topic ingia shule.
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  May 29, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mlipuaji ana uhakika gani kuwa anaowalipua WANASAIDIA?
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Naona mjadili taarifa bila kuisoma vyema. Hao waliolipua ahuo msikiti ni wakora tu tena inadaiwa ni wauza madawa ya kulevya, hivyo si sahihi kusema habari za kudai haki etc
   
 12. F

  Felister JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Alah kumbe then uislam na uarabu ulitoka wapi? Vipi kuhusu hao unaowaita wakora wanawakilisha kundi gani tofauti na waliokata tamaa? Hizo zote ni expression ya something which is never given a chane to be heard at any level being families; society etc or even friends; relatives parents. Msiwachukie viumbe wa Mungu uchukieni uovu ulioingia ndani yao ukifanikiwa kuutoa; huyo kiumbe hana tofauti na wewe; the only difference is u got a better environment which made u be the way u r. Huna cha kujivuna shukuru Mungu saidia wengine wawe kama wewe kama huwezi acha natural course i take place and things will come to equilibrium.
   
 13. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Great drop Felister.
  I co-sign in everything you have said 103%, your analysis of our perception of being civilised is on point. We tend to look civilization in the western perspective, we think being white is being right and that is where we messed up. Africa and the middle East were the mother of civilization, correct me if am wrong, the study of medicine was at an advanced stage in Egypt centuries ago. The empires of Timbuktu and Kush where all the race came to get books and learn from black people was in Africa.
  We should try and free ourselves from the mental slavery, because if we unshackle ourselves, the viscious cycle of poverty in the dark continent, will be history.

  sorry for divering the thread, I just had to support a sister.
   
 14. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Sio waisilamu tu au warabu wanaofanya mambo kama hao angalia BURUNDI,RUWANDA ,zimbabwe,south afrika tumejionea jinsi watu wetu wenywe wakifanywa BBQ ni akili ya makundi fulani ,hayo mambo yalikuwa yakitokea hata katika nchi ya Ulaya na marekani (KKK)zidi ya watu weusi kuchomewa nyumba ndani kukiwa na watoto na wazee na sio miaka mingi tokea kupunguwa vitendi hivyo.
   
 15. Marlenevdc

  Marlenevdc Member

  #15
  May 29, 2009
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati wa vita kuu ya dunia, Japan walikuwa na kikosi cha jeshi la anga lilikuwa likiitwa KAMIKAZE. Hawa kamikaze ni suicide bombers. Tofauti ni kuwa wao walikuwa wanarusha chombo chao (ndege ndogo) na kujilipua pamoja na adui.
  1. Sijawahi kusikia wakijadiliwa kuwa ni barbaric
  2. Sijawahi kusikia wakijadiliwa kuwa huko ni kukosa elimu au akili timamu au msukumo dini yao, najua pia walikuwa wanapigania uhuru, imani zao na nchi yao.
  3. Sijawahi kusikia kuwa walikuwa na kalenda yao na wako karne nadhani kimamendeleo ya 22!

  Tuwajadili!?!
   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  May 29, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mimi siko worried kama mtu atamlipua adui/mbaya wake whether alipuaye ni kutoka Iran, Burundi au Japan ila tatizo ni pale anapoingia msikitini, kwenye basi, treni, ndege, n.k. kulipua na wasiohusika. Kuna watu Tanzania yetu wanadhani rais wa sasa si mwingine bali ni Nyerere. Imagine mtu wa aina hii alibahatika kupita mitaa ya Dar mwaka 1998 kwa mara ya kwanza maeneo ya uliokuwa ubalozi wa zamani wa marekani uliolipuliwa na kuuwawa. Mtu kama huyu hajui kwamba adui wa Osama/baadhi ya waarabu/waislamu ni Marekani. Huo ni mfano mmoja tu. Hapo sawa kweli?
   
 17. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #17
  May 31, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
 18. K

  Kwedu Kwazu JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2015
  Joined: Feb 22, 2015
  Messages: 504
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wa ajaby sana hawa
   
 19. B

  BekaNurdin JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2015
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 1,355
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  atleast basi alipue wale wenye kum-oppress!
  Pengine kuvaa bomu na kujilipua ni aina yao ya civilization.
   
 20. Ishmael

  Ishmael JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2015
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
Loading...