TanzaniaLaw
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,298
- 482
That is true. Lakini akina Nonda na FaizaFoxy pamoja na Elungata wa Ally Kombo si dhani kama watakubaliana na wewe.I can see, kwa Iran kuwa na technology ya kutengeneza drone is unsafe to the entire World. it sound biter kwa Nchi kama Israel, kwani hawa jamaa hawaaminiki hata kidogo. Lakini, kwa nchi kama Tanzania tuna cha kujifunza hapa. wanasayansi wetu(kama wapo) waanze kutengeneza Silaha kwa Matumizi yetu wenyewe. (Jeshi, Polisi na Taasisi nyingine zinazoruhusiwa kutumia silaha kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi) siyo hata SMG tuna-import kutoka china. wanasiasa amkeni, anzeni mkakati wa kuwekeza kwenye military ikiwa ni pamoja na kujenga kiwanda cha silaha. (Ammution factory)
That is true. Lakini akina Nonda na FaizaFoxy pamoja na Elungata wa Ally Kombo si dhani kama watakubaliana na wewe.
I can see, kwa Iran kuwa na technology ya kutengeneza drone is unsafe to the entire World. it sound biter kwa Nchi kama Israel, kwani hawa jamaa hawaaminiki hata kidogo. Lakini, kwa nchi kama Tanzania tuna cha kujifunza hapa. wanasayansi wetu(kama wapo) waanze kutengeneza Silaha kwa Matumizi yetu wenyewe. (Jeshi, Polisi na Taasisi nyingine zinazoruhusiwa kutumia silaha kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi) siyo hata SMG tuna-import kutoka china. wanasiasa amkeni, anzeni mkakati wa kuwekeza kwenye military ikiwa ni pamoja na kujenga kiwanda cha silaha. (Ammution factory)
Wacha kiherehere.
Msome huyu hapa juuHahahah....naamini ni waungwana na wanaelewa vizuri tu
Hawa jamaa hawaaminiki!
Taabu ya kurudiarudia maneno uliyoyasikia kama kasuku, bila ya kuwa na akili za ku analyse.
Kwa wewe unaeishi katikati ya pori la Tanzania, Iran imekufaya nini wewe binafsi? Jee Mama yako? Dada yako? Absolutely nothing.
Au unazungumzia Marekani na Israel? Yaani wewe ni mouthpiece ya Marekani?
Ducon salaud
Bibi bomba mbona umehama jukwaa la siasa
Zali lipi?,rule of engagement ya iran siyo kupre empt.Lini hawa jamaa wataanzisha zali, watu waangalie mtanage?
Kwahiyo Wairan ni longalonga tu. Kwanini wasianzishe zali, ili haya maneno ya nani zaidi yaishe?Zali lipi?,rule of engagement ya iran siyo kupre empt.
hiyo ni rule ya israel(pre emptive strike),swali ungeelekeza kwa israel,lini ataishambulia iran.
iran wanajibu mapigo hawashambulii.
Kwahiyo Wairan ni longalonga tu. Kwanini wasianzishe zali, ili haya maneno ya nani zaidi yaishe?