Iran yatungua Drone nyingine

Nawanao watungulia hizo drones siku wakiwalipizia kwa namna nyingine wasilielie
Wamarekani Weusi Mmeumia Sana Eeh [emoji3][emoji3] kama watapitisha hata ndege ya karatasi 2ta i2ngua na hawana la ku2fanya


US na Shost Zake PAPER TIGER Nakukukumbusha 2 Hakuna Taifa Linalothubu2 Kuishambulia Kijeshi IRAN Nakama Litathubutu 2takuja Kusimuliana Hapa [emoji3] Kama 2takua Hai lkn [emoji3]
 
Sawa
 

Mkuu tudadavulie kidogo aliyoyafanya Iran ambayo Russia hajathubutu?
 
Mkuu tudadavulie kidogo aliyoyafanya Iran ambayo Russia hajathubutu?
Naomba Nijibu Mm Japokua Sijaulizwa

1.Wameteka Drone Nne Za US Bila Kuziripua Kwakutumia Teknolojia Yajuu Kabisa jambo ambalo halijawahi kufanywa na yyte yule Sio RUSSIA 2 yyte Yule Duniani

2.Wamekamata Meli Ya UK Nakujitapa Kabisa Kama Wao Jambo Ambalo Halijawahi Kufanywa Na Yyte Yule Duniani Sio RUSSIA tu


3.Wameripua Drone Nyengine Ya US Nakusema Kama Wao Jambo Ambalo Halijawahi Kufanywa Nataifa Lolote Ulimwenguni



Nb:Haya Yote Wameyafanya Katika Hali Ambayo Nchi Hizo Haziko katika Vita Yamoja Kwamoja


Ukitaka Mengine Nikuongezee MKUU
 
Wazungu hawapo bize Sana na vita isipokuwa nchi nyingi za middle east na nchi za indicteta ...
 
Wazungu hawapo bize Sana na vita isipokuwa nchi nyingi za middle east na nchi za indicteta ...
Wazungu hawapo BUSY Na vita ndio unavyojidanganya

VENEZUELA Kuna Udikteta Gan ?!

Achana Nao Hawa Jamaa Hawafai Kabsaaaa
 
Wanaitendea haki teknolojia, hongera kwake Iran
Kuna siku Irani ataelewa maana code namba 0 na 1. Na kwa nini computers zinatambua izo namba, Giant eagle hawezi kusumbulia na wafunga vilemba, kuna mathematical projects wanaifanya na kuna siku dunia itapata jibu kwamba sumu ilitengenezwa kwa ajili ya binadamu na kiumbe chenye uhai
 
Hayo unayajua ww, wakuu wako wanaumiza vichwa kila siku, Iran hajaribiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…