Hii Habari Inawauma Sana Team Flan Flan Ila Kama US Wamekanusha Soon Ushahidi UtapatikanikaHabari toka vyanzo tofauti ni kuwa Iran imetungua drone nyingine ambayo illingia kwenye Anga lake.
Marekani kwa upande wake imesema haijapoteza Drone yake yoyote.
Iran imesema imechukua mabaki ya ile drone kwa uchunguzi zaid!.
Drone ilikuwa inatembea kwa chini sana na iran imetoa video yake.
Taarifa zaid na video
Iran says it shot down infiltrator drone near key port – not one of ours, US responds
Iranian air defense forces have shot down a foreign drone near the port city of Mahshahr, Iranian media reported, showing alleged footage of the intercept as proof. The US Central Command said it didn’t lose any of its UAVs.www.rt.com
Iran sio ndezi kiasi hicho.Ukute kapiga yake mwenyewe
Kwa hiyo zikipita kwenye anga lao na kuhatarisha maisha ya raia wao waziangalie tu.Nawanao watungulia hizo drones siku wakiwalipizia kwa namna nyingine wasilielie
Muajemi siyo kama waarabu wanaojikalia barazani kuvuta shisha na kunywa kahawa.Wanaugulia maumivu! Muda si muda watasema
MAREKANI NI NYAU TUNawanao watungulia hizo drones siku wakiwalipizia kwa namna nyingine wasilielie
Wazee wa taarabu watakimbilia vikwazo zaidi.Nawanao watungulia hizo drones siku wakiwalipizia kwa namna nyingine wasilielie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tusha wazoea huwa wana kanusha alafu badae waumbuka.
Endelea kuotaUkute kapiga yake mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaugulia maumivu! Muda si muda watasema