Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA

Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametetea uamuzi wa nchi yake kusitisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA, akimtuhumu mkuu wake kwa mwenendo wa kile alichokiita uharibifu.

SiasaMashariki ya Kati

Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA
Thelma Mwadzaya

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametetea uamuzi wa nchi yake kusitisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA, akimtuhumu mkuu wake kwa mwenendo wa kile alichokiita uharibifu.

Wakati huohuo, Ujerumani na Ufaransa kwa pamoja zimeilaani Iran kwa kumtishia mkuu wa shirika la IAEA baada ya kunyimwa ridhaa ya kuyatembelea maeneo ya shughuli za nyuklia yaliyshambuliwa.Yote hayo yakiendelea Iran inasisitiza kuwa ina haki ya kuwa na nyuklia kwa matumizi ya amani.

Wabunge wa Iran walipitisha muswada wa kusitisha ushirikiano na IAEA muda mfupi baada ya mashambulizi makubwa ya anga yaliyofanywa na Israel tarehe 13 Juni, na mashambulizi ya baadaye yaliyofanywa na Marekani kwenye vituo vya shughuli za nyuklia vya Iran.

Maafisa wa Iran wanasema IAEA imeshindwa kuwajibika kitaalamu

Ingawa usitishaji wa mapigano kati ya Iran na Israel ulianza tarehe 24 Juni, maafisa wa Iran wameendelea kulalamikia kile wanachokiita kushindwa kwa IAEA kuchukua msimamo wa kitaalamu na usioegemea upande wowote. Pia walikosoa azimio la IAEA la tarehe 12 Juni lililodai kuwa Iran haijazingatia wajibu wake kuhusu mkataba wa nyuklia.

Rais Macron, katika chapisho la hadhara, alitoa wito wa kuheshimu usitishaji wa mapigano na kurejea kwa mazungumzo kuhusu masuala ya nyuklia na makombora ya masafa marefu. Alisisitiza pia umuhimu wa Tehran kuwaruhusu wakaguzi wa IAEA kurejea nchini humo ili kuhakikisha uwazi kamili.

Hata hivyo, Iran imesisitiza kuwa hali ya sasa bado ni tete mno kuhakikisha usalama wa wakaguzi wa kimataifa, hasa ikizingatiwa kuwa maeneo yao ya nyuklia yalishambuliwa moja kwa moja siku chache zilizopita. Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zilitoa taarifa ya pamoja kulaani vitisho dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa IAEA, Rafael Grossi, baada ya Iran kukataa ombi lake la kutembelea maeneo ya nyuklia yaliyoshambuliwa.

Mkurugenzi Mkuu wa IAEA, Rafael Grossi ni jasusi wa Israel?

Ingawa vitisho hivyo havikufafanuliwa wazi, gazeti la kihafidhina la Iran Kayhan lilikuwa tayari limechapisha makala inayodai kuwa Grossi ni jasusi wa Israel na kusema anapaswa kuhukumiwa kifo akiingia nchini humo, hali iliyozua hasira katika miji mikuu ya nchi za Magharibi.
 
Jamaa alikua anauza info za nuclear program ya iran kwa wayahudi
Nyie mmefundishwa ushahidi wa Uongo Madrasa na huku Duniani pia mmekuwa Mashahidi wa Uongo. Ni faida gani mnapata kwa Allah? au ndio mnapewa tuzo za kuja kuishi mbingu ya juu zaidi?

Shahada maana yake ni kutoa Ushahidi so mnaposema Hakuna Mungu ila Allah tayari ni uongo, and Mohammad ndie mtume wake wa mwisho uongo tena Quran imeandikwa na watu kadhaa aya za kutosha kwa watu tofauti na Mudy na aya zikaingizwa kwenye Quran so Mudy hawezi kuwa wa Mwisho
 
Akanyage tema Iran aone kama hajanyongwa na nchi itakaeleta mdomo maiti itafungwa kwenye kombora inatumwa waipokee huko
 
Akanyage tema Iran aone kama hajanyongwa na nchi itakaeleta mdomo maiti itafungwa kwenye kombora inatumwa waipokee huko
Atakanyaga na hawata fanya kitu. Iran keshakuwa exposed mikwala yote hawawezi zuia kombora wapo uchi

Wapeni bichwa tu waja wakione.. zamani sisi tukitaka watu wapigane mmoja akikataa unamfundisha mmoja amuambie mwenzie kuwa amlipe ng'ombe wake wakati hawezi basi kichapo kinaanza.. mnalotaka kwa Iran atapewa tu, Ndio mfumo wa Israel mkimsingizia anawapa mlichomsingizia hadi muombe amani atawapa.. Mkimsingizia hawapi msosi anawanyima kweli, sasa hivi wamekuja na kampeni eti wanawekewa madawa kwenye unga nawaambieni mnachoomba mtapewa Netanyahu awawekee tu madawa kila watakachosingizia kibaya afanye kweli.

Mimi kuna demu nlilsingiziwa nimetembea nae kilichofuata nilimlazimisha nikamla maana Kama Mbwai mbwai tu
 
Kwani kwenye izo sekeseke unajua ni Waisrael wangapi Wamezikwa milele amina uko Israel !!!!

matendo ya Israel ndio mwiba kwao kuonja Aman kwenye eneo la Waraabu !!

kosa kubwa wamefanya waisrael Fake kwenda kuishi ilo eneo kwakutegemea Ubabe wa fujo za Vita!!!

mwarabu maVita vita kifo kashazoea miaka mingi !!!

mwisho ni uyo uyo Mgeni wenu ndio atatoka mbioooo !!

na kwasasa unaambiwa kila anaefanikiwa kuondoka Israel anakwambia kamwe sitawai kurudi Israel. Hakuna maisha tena..
 
Back
Top Bottom