Iran Yatangaza Kuongeza Urutubishaji wa Uranium

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Iran imetangaza kwamba itakiuka kiwango cha urutibishaji wa madini ya Uranium Juni 27, kilichowekwa katika makubaliano ya nyuklia ya mnamo 2015 yalioidhinishwa na mataifa yenye nguvu duniani.

Shirika la nishati ya atomiki nchini Iran limesema limeongeza mara nne uzalishaji wa madini hayo yanayotumika kutengeneza nishati lakini pia silaha.

Lakini limeongeza kwamba bado "kuna muda" kwa mataifa ya Ulaya kuwajibika kwa kuilinda Iran dhidi ya vikwazo vilivyoidhinishwa upya vya Marekani.

Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimeionya Iran dhidi ya hatua hiyo inayokwenda kinyume na makubaliano hayo
Zimesema hazitokuwa na namna ila kuidhinishia upya vikwazo, ambavyo zilikubali awali kuviondoa iwapo Iran itatii masharti yaliowekwa katika mpango wake wa nyuklia.

Iran imelalamika kwamba mataifa hayo yameshindwa kutii uwajibikaji wao katika kutatua athari za vikwazo vya Marekani vilivyoidhinishwa baada ya rais Donald Trump kujito akatika mpango huo mwaka jana.

Trump anataka kuilazimisha Iran kujadili upya makubaliano hayo na ikubali kusitisha mpango wake wa nyuklia na isitishe shughuli zake katika enoe la mashariki ya kati.

Hatua hii ya sasa inajiri wakati ambapo kuna wasiwasi mkubwa katika eneo, huku Marekani ikituma jeshi na kuishutumu Iran kwa kuhusika katika mashambulio yanayoshukiwa yaliosababisha magari mawili ya mafuta kuteketea moto siku ya Alhamisi.
 
Nukilia Iran anaweza kuiacha.. Lkn kamwe hawez kuacha kujipanua .

Marekan Hana ugonv na Iran...ila ana ubeba ugonvi kwa niaba ya Israel.

Sasa ugonv wa Iran na Israel sio wa Kiuchumi wala kisiasa bali ni wa KIDINI.

Nakama ni wa kidini.,, Ukirudi katika Maandiko YESU atarudi wakati ambao Israel linasimama kama Taifa , wakat ambao Israel amejihakikishia kua yu Salama kabisa.

Na Usalana wa Israel kwasasa sio guaranteed kwa sababu ya Uwepo wa nguvu wa Iran .

Hii inamaana, Lazima siku itafika Iran ataomba poo tuu.

Kwa sasa, Anashikwa mkono na Warusi na Uchina....... Siku itafika ambayo hata Uchina na Urusi wao pia watakua chini ya US ,nahapo ndipo Iran naye atakua mdogooooo , kisha JERUSALEMI ITASIMAMA UPYA ili Chukizo la Uharibifu lisimamishwe .

kwa sisi wakristo, hapo ndo tunasema Yesu huyoo anakuja.
 
Ndoto Bana, ahsante kwa maoni, ILA LABDA NIKUAMBIE KITU TU KUWA IRAN ANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE KWENYE YA NCHI YAKE NA HAKUNA WA KUMZUIA TENA COZ WAMESHACHELEWA, KINACHOWAUMA KICHWA ZAIDI MABOSS WAKO NI KUWA IRAN ANAZO HIZI SILAHA AU LAAA, NA TUKIVAMIA NI NN KITATOKEA, TUKUMBUKE WAZI KUWA SASAIVI IRAN IMESHAJITANUA MASHARIKI YA KATI KULIKO MDA MWENGINE WWTE, UNAVYOFKIRIA NA MAWAZO YAKO SIVYO ILIVYO KIUHALISIA
 
Unaweza kua Sahihi kwa muktadha wako, nachoweza kukuhakikishia, Iran sio kitu bila Urusi wala Uchina.

Unahisi Venezuela, asingekuapo mchina au mrusi, Maduro asingepigwa???

Niivi tuko bara la weusi, ila ukweli nikwamba, Dunia kwa sasa inaenda gawanyika ktk makundi yaleyale mawili yaan wamagharibi na wamashariki .

Kwa intelijensia ya Marekan, Kuipiga Iran ni faida kuliko kuiacha, ila swali nije, waipigeje ili hali Urusi na Uchina nazo zimewekeza vya kutosha hapo???.

Iran anachojiaminia, ni kushambulia Israel na Saudi na vituo mbalimbali.. Aya uhakika wa Makombora kuipiga Israel toka Iran, ni mdogo sana.. Hapa unaona Iran anabakia na saudia.

Sasa ukweli nikwamba, Muisirael yupo tayari kuona Iran na Saudia wanapigana so long as nchi yao ipo salama... Sasa nan atakua kapoteza??mwarabu au muyahudi ??.

Iran sio kitu kwa US !! ni Urusi tu ndo ameishikilia .
 
Nukilia Iran anaweza kuiacha.. Lkn kamwe hawez kuacha kujipanua .

Marekan Hana ugonv na Iran...ila ana ubeba ugonvi kwa niaba ya Israel.

Sasa ugonv wa Iran na Israel sio wa Kiuchumi wala kisiasa bali ni wa KIDINI.

Nakama ni wa kidini.,, Ukirudi katika Maandiko YESU atarudi wakati ambao Israel linasimama kama Taifa , wakat ambao Israel amejihakikishia kua yu Salama kabisa.

Na Usalana wa Israel kwasasa sio guaranteed kwa sababu ya Uwepo wa nguvu wa Iran .

Hii inamaana, Lazima siku itafika Iran ataomba poo tuu.

Kwa sasa, Anashikwa mkono na Warusi na Uchina....... Siku itafika ambayo hata Uchina na Urusi wao pia watakua chini ya US ,nahapo ndipo Iran naye atakua mdogooooo , kisha JERUSALEMI ITASIMAMA UPYA ili Chukizo la Uharibifu lisimamishwe .

kwa sisi wakristo, hapo ndo tunasema Yesu huyoo anakuja.
Usichanganye dini na siasa utafeli,,

Unaitetea israel na kutoa agano za uongo

Vitabu vinatabiri dola lenye nguvu ambayo ni marekani itaporomoka na kuhamia kwingine

Utajuaje huenda ndo sasa power inahamia mashariki(uchina na urusi)

Muda utaongea
 
Sasa kwa akili yako Israel anaweza kusimama na Iran bila ya marekani na washirika wake kuingilia? Iran mwanaume hana mshirika yule na anajiamini usiambiwe.
 
Israel hii hii ambayo mmoja wa mawaziri wake anashiriki mapenzi ya jinsia moja. Hizo ni hadithi za alufu lela ulela
 
Usichanganye dini na siasa utafeli,,

Unaitetea israel na kutoa agano za uongo

Vitabu vinatabiri dola lenye nguvu ambayo ni marekani itaporomoka na kuhamia kwingine

Utajuaje huenda ndo sasa power inahamia mashariki(uchina na urusi)

Muda utaongea
Huwez kutenganisha MASHARIKI YA KATI YA UDINI HATA SIKU MOJA.

Migogoro yote ya mashariki yakati ,Sio mafuta au Gesi ni DINI.
 
Sasa kwa akili yako Israel anaweza kusimama na Iran bila ya marekani na washirika wake kuingilia? Iran mwanaume hana mshirika yule na anajiamini usiambiwe.
Kwa bahati mbaya Sana, Hawa wayahudi ndio hawahawa waliozagaa na kuyaongoza mashirika makubwa makubwa ya Dunia hasa Marekan, unapoona Wayahudi wanamuweka Trump madarakan ,sio watu wa kuwabeza kirahisi rahisi.

Huwez kaa uitenganishe Marekan na Israel, ila sasa "Kuna andiko linasema, Israel atasalitiwa pale ambapo atakua keshakua na aman.

Na once akisalitiwa, ili kujihakikishia Ulinzi tena, itampaswa Aingie upya mikataba natawala itakayokua imemuhaidi kumsaidia ...

Ni mambo mengi mkuu, yanaitaj kusoma na kufatilia !!

Ila kikubwa elewa MASHARIKI YAKATI NA UDINI HAVITENGAMAN.
 
Acha kutuletea conspiracy theory hapa.hivi sasa trump ana struggle kujiokoa na impeachment dhidi ya Congress wewe unatuambia eti kachaguliwa na Israel.ulevi wa dini umekulevyaa
Kwa bahati mbaya Sana, Hawa wayahudi ndio hawahawa waliozagaa na kuyaongoza mashirika makubwa makubwa ya Dunia hasa Marekan, unapoona Wayahudi wanamuweka Trump madarakan ,sio watu wa kuwabeza kirahisi rahisi.

Huwez kaa uitenganishe Marekan na Israel, ila sasa "Kuna andiko linasema, Israel atasalitiwa pale ambapo atakua keshakua na aman.

Na once akisalitiwa, ili kujihakikishia Ulinzi tena, itampaswa Aingie upya mikataba natawala itakayokua imemuhaidi kumsaidia ...

Ni mambo mengi mkuu, yanaitaj kusoma na kufatilia !!

Ila kikubwa elewa MASHARIKI YAKATI NA UDINI HAVITENGAMAN.
 
Kwa bahati mbaya Sana, Hawa wayahudi ndio hawahawa waliozagaa na kuyaongoza mashirika makubwa makubwa ya Dunia hasa Marekan, unapoona Wayahudi wanamuweka Trump madarakan ,sio watu wa kuwabeza kirahisi rahisi.

Huwez kaa uitenganishe Marekan na Israel, ila sasa "Kuna andiko linasema, Israel atasalitiwa pale ambapo atakua keshakua na aman.

Na once akisalitiwa, ili kujihakikishia Ulinzi tena, itampaswa Aingie upya mikataba natawala itakayokua imemuhaidi kumsaidia ...

Ni mambo mengi mkuu, yanaitaj kusoma na kufatilia !!

Ila kikubwa elewa MASHARIKI YAKATI NA UDINI HAVITENGAMAN.
Sio kwl!! Pale Mashariki ya Kati ni siasa tu Wl c dini, kinacho tafutwa ni MMOJA awe na nguvu kupita wote ndio maana US anawekeza sana pesa Nying kwako ili aweze fikia masilah yke na swala la Kusema waisrel ndio wenye ujuz mkubwa ni vitabu ambavyo vimeandikwa na kukumezesha ww ili tu Uaminifu hivyo vitabu viko waz Kwa mfano quruan ina twambia mwenyez mungu hatoweza kukutimizien ahad yke mpk pale mtakapo muamin mwenyez mungu na kuna aya nyingine inasema anawaambia mayahud kuwa watafanya fisad Nying kwenye ardhi@ kumwaga damu za watu wasio kuwa Na hatia lkn Baadae anawaambia tena nitakutumien waka wangu ambao ni wakal Kwa Vita wata kuingiliwa mpk kwenye majumba yenu.
 
Nukilia Iran anaweza kuiacha.. Lkn kamwe hawez kuacha kujipanua .

Marekan Hana ugonv na Iran...ila ana ubeba ugonvi kwa niaba ya Israel.

Sasa ugonv wa Iran na Israel sio wa Kiuchumi wala kisiasa bali ni wa KIDINI.

Nakama ni wa kidini.,, Ukirudi katika Maandiko YESU atarudi wakati ambao Israel linasimama kama Taifa , wakat ambao Israel amejihakikishia kua yu Salama kabisa.

Na Usalana wa Israel kwasasa sio guaranteed kwa sababu ya Uwepo wa nguvu wa Iran .

Hii inamaana, Lazima siku itafika Iran ataomba poo tuu.

Kwa sasa, Anashikwa mkono na Warusi na Uchina....... Siku itafika ambayo hata Uchina na Urusi wao pia watakua chini ya US ,nahapo ndipo Iran naye atakua mdogooooo , kisha JERUSALEMI ITASIMAMA UPYA ili Chukizo la Uharibifu lisimamishwe .

kwa sisi wakristo, hapo ndo tunasema Yesu huyoo anakuja.
ndoto zingine ni shida sana hapo Yesu atarudi na wakati mnasema kafa kwa ajili Yenu. Akirudi ujuwe anakuja wasuta kuwa hakufa kwa ajili yenu.

Tukirudi kwenye mada Israel mda wake utakwisha mapema duniani ikiwa USA ataigusa Iran. Nadhani Yesu hakukosea kuwaita nguruwe walio potea. Atawakuta wameisha potea wengine watakuwa wanajificha kwenye mawe na miti.

Afu Yesu kurudi duniani bona utasubiri sana, hawezi kurudi akirudi atakuwa nani tena, sababu hakuna Mtume atakuja baada ya Mtume Muhammad. Mungu pia atabaki kuwa yeye tu vile vi miungu mnavyo viita vimeisha kufa.
 
U wish!!
Nukilia Iran anaweza kuiacha.. Lkn kamwe hawez kuacha kujipanua .

Marekan Hana ugonv na Iran...ila ana ubeba ugonvi kwa niaba ya Israel.

Sasa ugonv wa Iran na Israel sio wa Kiuchumi wala kisiasa bali ni wa KIDINI.

Nakama ni wa kidini.,, Ukirudi katika Maandiko YESU atarudi wakati ambao Israel linasimama kama Taifa , wakat ambao Israel amejihakikishia kua yu Salama kabisa.

Na Usalana wa Israel kwasasa sio guaranteed kwa sababu ya Uwepo wa nguvu wa Iran .

Hii inamaana, Lazima siku itafika Iran ataomba poo tuu.

Kwa sasa, Anashikwa mkono na Warusi na Uchina....... Siku itafika ambayo hata Uchina na Urusi wao pia watakua chini ya US ,nahapo ndipo Iran naye atakua mdogooooo , kisha JERUSALEMI ITASIMAMA UPYA ili Chukizo la Uharibifu lisimamishwe .

kwa sisi wakristo, hapo ndo tunasema Yesu huyoo anakuja.
 
Unaweza kua Sahihi kwa muktadha wako, nachoweza kukuhakikishia, Iran sio kitu bila Urusi wala Uchina.

Unahisi Venezuela, asingekuapo mchina au mrusi, Maduro asingepigwa???

Niivi tuko bara la weusi, ila ukweli nikwamba, Dunia kwa sasa inaenda gawanyika ktk makundi yaleyale mawili yaan wamagharibi na wamashariki .

Kwa intelijensia ya Marekan, Kuipiga Iran ni faida kuliko kuiacha, ila swali nije, waipigeje ili hali Urusi na Uchina nazo zimewekeza vya kutosha hapo???.

Iran anachojiaminia, ni kushambulia Israel na Saudi na vituo mbalimbali.. Aya uhakika wa Makombora kuipiga Israel toka Iran, ni mdogo sana.. Hapa unaona Iran anabakia na saudia.

Sasa ukweli nikwamba, Muisirael yupo tayari kuona Iran na Saudia wanapigana so long as nchi yao ipo salama... Sasa nan atakua kapoteza??mwarabu au muyahudi ??.

Iran sio kitu kwa US !! ni Urusi tu ndo ameishikilia .

Iran hamtegemei mtu wewe, acha kukariri bana. Marekani ndio hawezi kuipiga iran bila msaada wa NATO.
 
Back
Top Bottom