Iran yasogeza Meli zake za vita Bahari Nyekundu!

Atafanya nini!?
Ningekua mimi ni Iran kuna vitu nisingekua nahangaika navyo!

Kama kuna Taifa ambalo Wakubwa wa Dunia wanasubiri likosee kidogo walifundishe Adabu basi ni Iran!

Mwisho wa siku Raia wa Iran ndo watapata shida.
Sasa wewe unakuaje iran
Dunia yetu sote ukiujua huu wenzio wanaujua ule
Yaani United Shits Of Americant katoka bara la America huko kaleta meli hapo inakua sawa ila iran kupeleka meli hapo iwe taabu
Iran amekua akifanya hivyo sio leo tu ni zamani tena sana fuatilia
Mwisho hakuna mtu atakae mgusa iran hata kama atakosea
Au utwambie akosee vipi ili unaowaita wakubwa wamshughulikie
Iran taifa teule
 
Hivi Ile joint operation ya American navy&allies imefikia wapi. Inaonekana Iran na washirika wake hawababaishwi na mikwara mbuzi ya wapuuzi....
Marekani na uingereza tayari wako eneo la bahari karibu na Yemen wanalinda meli kuendelea kupita njia ile ambayo Waasi wa wahouth wanaoungwa na Iran walianza kushambulia meli Sasa hivi helikopta za kivita zimeshawaua magaidi wa. Youth kibao na kuzamisha boti zao za kivita majini Sasa hivi meli zinapita kama kawaida
 
Zimepita ngapi Mzee wakati Jana Meli ya Denmark imewashwa mto na hao Houth.
 
Atapigwa na nani? Marekani huwa haendi ktk nchi inayojiweza kijeshi. Israel ndio kabisa haiwezi iran. Hapo gaza tu anasaidiwa kwa 100% lakini ameshindwa tena anapigana na kikundi kidogo sana cha mgambo
Nani kakudanganya kuwa Hamas ni kikundi Cha wanamgambo? Wale ni makomandoo wa Iran na nchi mbalimbali za Kiarabu waliokuwa wameweka makazi ya na vituo vya kijeshi Gaza
Kuuawa kwao ni pigo kubwa Kwa Jeshi la Iran na majeshi mbalimbali ya nchi za Kiarabu
 
Maluelue yamewachanganya sana kwa kipigo wanachokitoa Hamas. Thibitisha Hamas ni makomandoo wa Iran
 
Back
Top Bottom