one wisow JF-Expert Member Joined Sep 9, 2019 Posts 1,327 Reaction score 1,917 Jan 31, 2023 #141 Mpaka sasa hakuna ushahidi wa Nani aliuehusika na hio drone moja iliofanikiwa kuhit target. Ingawa ill wishers wana isingizia israel lakini uchunguzi wa awali unaonesha hili shambulizi lime tokea ndani ya mispaka ya Iran yaani ni internal agents amehusika.
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa Nani aliuehusika na hio drone moja iliofanikiwa kuhit target. Ingawa ill wishers wana isingizia israel lakini uchunguzi wa awali unaonesha hili shambulizi lime tokea ndani ya mispaka ya Iran yaani ni internal agents amehusika.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,994 Reaction score 102,833 Feb 2, 2023 Thread starter #142 Iran kaapa kulipiza kisasi baada ya kuituhumu Israel kuoshambulia