Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,015
- 43,157
Wanaukumbi.
Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA. hatua iliyochukuliwa kufuatia vita kati ya Israel na Jamhuri hiyo ya kiislamu.
Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf hapo awali alitangaza kwamba mpango wa nyuklia wa Iran utafuatiliwa "kwa kasi zaidi."
Kura hiyo inaiondoa Iran katika mfumo wa uangalizi wa kimataifa huku ikiacha kujiondoa rasmi kwenye NPT.
Israel ilianza kuishambulia Iran Juni 13 ikisema dhamira yake ni kuizuwia Tehran, kuendelea na mpango wake wa nyuklia. Israel imesema mpango huo ni hatari kwa usalama wake.
Spika wa bunge amenukuliwa akisema kuwa IAEA ilikataa hata kulaani shambulizi lililofanywa kwenye vinu vya Iran vya nyuklia
SOURCE 👇🏽
Iran’s parliament voted on Wednesday to suspend all cooperation with the International Atomic Energy Agency (IAEA), effectively ending i ... https://share.google/xVeENSGyBKMwFgLXU