Iran wapenda sifa wamkamate Muisrael na waache kumpiga picha dunia ione hicho kitu hakipo... hao wanaowashika ni raia wao tu kisha wanachukua point kwa israel kisa labda lawasiliana kwa simu na mtu anayehusiana na Taifa la Israel... hata Hamas na Hezbollah hiwakamata raia wao na kuwapa kesi hizo...
Kimsboy hongera kwa kulitambua Taifa la Israel kwa kulitamka vizuri this time.. bila chenga kumbe huwa mnaelewa ile Tokea mama Samia aingie akili zenu zimerejea upya safi... ile Taifa sijui haram no more na usirudie tena ulipotokea.
.
Vipi ushasikia spy ship ya iran imeshambuliwa na Israel?
yule mwanasayansi wao aliuawa akiwa wp vile?Iran wapo vizuri kientelijensia maana wangelikua ni wazembe wazembe hiyo nchi sahv ingelikua kama libya tu
naona unaleta maneno ya kike najua ulitaka nifanane na mama ako.Upo kama likiazi kikuu[emoji1787][emoji1787]
Kama ni Muisrael, atapona; ni asset hiyo siku moja atabadilishwa kwa vitu vyenye thamani kubwa. Israel huwa haichi raia wake kwenye mataa hata siku moja. Hata maiti huwa inarudishwa.Sipachi picha kitu huyo mwisrael atafanywa huko Iran
Mashoga wajitaarisheMvaa kobazi kapigwa bani.
Mpaka taarifa inatufikia hapa huyo Afisa wa Israel atakua marinda yote yametatuka kwenye mahojiano tu waajemi sio watu wazuriIran yamkamata jasusi wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki
Maafisa wa usalama nchini Iran wametangaza kumkamata jasusi wa utawala wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki katika eneo la kaskazini magharibi mwa nchi.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki amesema jasusi huyo wa utawala wa Israel na majasusi kadhaa wa nchi zingine wamekamatwa katika oparesheni ya maafisa wa usalama mkoani humo.
Akizungumza na waandishi habari Jumatatu, amesema hakuna kundi lolote la magaidi wakufurishaji katika mkoa huo lakini hakutoa taarifa zaidi kuhusu idadi ya majasusi waliokamatwa au uraia wao.
Hali kadhalika amesema katika miezi ya hivi karibuni pia majasusi wengine kadhaa waliokuwa wanatumikia mashirika ya kijasusi ya kigeni wamekamatwa mkoani humo.
Agosti 2020, maafisa wa usalama wa Iran waliwakamata majasusi kadhaa wa mashirika ya kijasusi ya kigeni nchini.
Akizungumza wakati huo, afisa mwandamizi wa Wizara ya Usalama alitangaza kuwa wamesambaratisha timu tano za majasusi na kusema kukamatwa majasusi hao kulikuwa pigo kubwa kwa madola ya kibeberu duniani.
Afisa huyo alisema mashirika ya kijasusi ya kigeni yanatumia mbinu za kiwango cha juu ili kupata taarifa muhumu katika sekta mbali mbali nchini Iran hasa sekta ya za nyuklia, kijeshi, kisiasa, kiuchumi na miundo msingi.
Aliongeza kuwa majasusi hao wanatekeleza shughuli zao chini ya usimamisi wa Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani (CIA), shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad na mashirika kadhaa ya kijasusi ya nchi za Ulaya.
My take:Sipachi picha kitu huyo mwisrael atafanywa huko Iran[emoji23][emoji16]
View attachment 1745354
Vipi upo tayari kupata chanjo ya mashoga ili uruhusiwe kwenda kuhiji mkuu.Mashoga wajitaarishe
#Russia and #Lebanon's Hezbollah resistance movement are reportedly considering possibility of opening a representative office for Lebanese popular organization in capital, Moscow, following high-level meetings between the two sides last month
Hezbollah Representative Office in Moscow Likely: Report - World news - Tasnim News Agency https://t.co/ql0AsFSQuT
Huwezi kukamata jasusi la MOSSAD kifala fala,Kama unavyodhani,wamekamata watu kwa kuhisi Tu, Tatizo lako unateswa sana na chuki za Kidini.Iran yamkamata jasusi wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki
Maafisa wa usalama nchini Iran wametangaza kumkamata jasusi wa utawala wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki katika eneo la kaskazini magharibi mwa nchi.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki amesema jasusi huyo wa utawala wa Israel na majasusi kadhaa wa nchi zingine wamekamatwa katika oparesheni ya maafisa wa usalama mkoani humo.
Akizungumza na waandishi habari Jumatatu, amesema hakuna kundi lolote la magaidi wakufurishaji katika mkoa huo lakini hakutoa taarifa zaidi kuhusu idadi ya majasusi waliokamatwa au uraia wao.
Hali kadhalika amesema katika miezi ya hivi karibuni pia majasusi wengine kadhaa waliokuwa wanatumikia mashirika ya kijasusi ya kigeni wamekamatwa mkoani humo.
Agosti 2020, maafisa wa usalama wa Iran waliwakamata majasusi kadhaa wa mashirika ya kijasusi ya kigeni nchini.
Akizungumza wakati huo, afisa mwandamizi wa Wizara ya Usalama alitangaza kuwa wamesambaratisha timu tano za majasusi na kusema kukamatwa majasusi hao kulikuwa pigo kubwa kwa madola ya kibeberu duniani.
Afisa huyo alisema mashirika ya kijasusi ya kigeni yanatumia mbinu za kiwango cha juu ili kupata taarifa muhumu katika sekta mbali mbali nchini Iran hasa sekta ya za nyuklia, kijeshi, kisiasa, kiuchumi na miundo msingi.
Aliongeza kuwa majasusi hao wanatekeleza shughuli zao chini ya usimamisi wa Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani (CIA), shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad na mashirika kadhaa ya kijasusi ya nchi za Ulaya.
My take:Sipachi picha kitu huyo mwisrael atafanywa huko Iran[emoji23][emoji16]
View attachment 1745354
Nitatumia ya Iran au ya Urusi, maana Urusi wanapinga Ushoga kama North Korea au ChinaMpaka taarifa inatufikia hapa huyo Afisa wa Israel atakua marinda yote yametatuka kwenye mahojiano tu waajemi sio watu wazuri
Hii comment imefanya nikuvue nyota mbili nilizokupa now wewe ni Koplo usuHuwezi kukamata jasusi la MOSSAD kifala fala,Kama unavyodhani,wamekamata watu kwa kuhisi Tu, Tatizo lako unateswa sana na chuki za Kidini.