kama utakumbuka niliwahi sema humu kuhusu mauaji ya General kwishnei sasa ni ndege>mkataba wa nyuklia then mabomu Iran.
IRAN Hua Namkubali Maana Hua Anafanya Jambo Anavyopenda Sio Kulazimishwa.....
Safi Sanaaa Wakimaliza Kuharibu Ushahidi Watawapelekea Wenyewe
Lile tukio lakuangushwa ndege linaonekana halikua labahati mbaya kiukwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi ila inasemekana Kuna mkono wa US, yaani maelezo fulani yalikuwa yanatembea WhatsApp eti kwamba US wali intercept mawasiliano ya pilot wakajifanya kama Jeshi la Iran wakiionya ndege hiyo irudi Teheran au itashambulia. Pilot pasipo hila akageuza kurudi Teheran, waajemi wakaona ndege isiyo na taarifa wakajua ni hostile flight wakaidungua faster maana haikuwemo kwenye ratiba zao. Happy US akawa amefanikiwa kuwachonganisha waajemi na ulimwengu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubaliani naye ila apa Duniani Muogope Mungu na technology !Ndege na mawasiliano ya ndege hayaingiliki vinginevyo watu wasingehangaika ziteka na kujiua wangekuwa wanazishusha tu kwa data
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubaliani naye ila apa Duniani Muogope Mungu na technology !
Mkuu hao wa Iran wameishangaza Dunia jamaaa wana shabaha iliyopitiliza!Japo ndege ya Rais wa Marekani iliwahi ingiliwa na wakaambiwa kuna Bomu, wakahesabiwa hadi 0 ila hakuna kilichotokea,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Taifa Lakuingia Vitani Na IRAN.....kama utakumbuka niliwahi sema humu kuhusu mauaji ya General kwishnei sasa ni ndege>mkataba wa nyuklia then mabomu Iran.
NalendwaSahihi ila inasemekana Kuna mkono wa US, yaani maelezo fulani yalikuwa yanatembea WhatsApp eti kwamba US wali intercept mawasiliano ya pilot wakajifanya kama Jeshi la Iran wakiionya ndege hiyo irudi Teheran au itashambulia. Pilot pasipo hila akageuza kurudi Teheran, waajemi wakaona ndege isiyo na taarifa wakajua ni hostile flight wakaidungua faster maana haikuwemo kwenye ratiba zao. Happy US akawa amefanikiwa kuwachonganisha waajemi na ulimwengu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hawapigani na Taifa la Iran, watapiga maslahi ya viongozi ikiwezekana kuwaua ili wafanye yao, hawana shida na raia wema wa kiajemi (labda ingekukuwa waarabu piga wote) =nimekuchokoza tu
IRAN Hua Namkubali Maana Hua Anafanya Jambo Anavyopenda Sio Kulazimishwa.....
Safi Sanaaa Wakimaliza Kuharibu Ushahidi Watawapelekea Wenyewe
Lile tukio lakuangushwa ndege linaonekana halikua labahati mbaya kiukwel
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa huwa anakurupuka tu, muwie radhi wenzio tushamuelewa asumbui tena bongo zetu ng'oSasa ndivyo unavyodhihirisha ushetani wako, unafurahia hata Wairani wenzio walivyouawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa ni kutolifunga anga lao ili kutoruhusu safari za ndege wakijua fika kuwa kuna hatari ya mashambulizi kufanyika.Unaambiwa missiles mbili zilipiga ile ndege. Ya kwanza ilivyopiga ndege wakaona haitoshi,wakatuma na ya pili. Sasa hapa utasema vipi bahati mbaya ? GAZETI LA NEWYORK TIMES.
Wanaona wakitoa blackboxes kuna vitu ambavyo hawataki vijulikane vitajulikana.
Iran waunyute hivyo hivyo. Mbona Russia waliunyuti pale Ukraine Separists ambao ni pro Russia walipoitungua MH 17?
Kitendo cha kutuma missiles mbili ni volley strike ambayo inatumika sana hasa na Russia kuhakikisha target inapigwa. Kwa hiyo point ya bahati mbaya haifutiki kisa wametuma mara mbili. Then Russia hakupiga kimya kwenye ndege ya Malaysia kama unavyodai, alitoa ushahidi kuwa hakuhusika, hata hizi missile walizonazo Iran zilitengenezwa Russia mbona hapa hawajasema anahusika. Waasi ni pro-Russian lakini nchi inakana sasa tutafanya nini. Mwisho gazeti lako ni NEW YORK TIMES, kwamba kuna siku Musiba ataisifia Chadema hapo sijui.Unaambiwa missiles mbili zilipiga ile ndege. Ya kwanza ilivyopiga ndege wakaona haitoshi,wakatuma na ya pili. Sasa hapa utasema vipi bahati mbaya ? GAZETI LA NEWYORK TIMES.
Wanaona wakitoa blackboxes kuna vitu ambavyo hawataki vijulikane vitajulikana.
Iran waunyute hivyo hivyo. Mbona Russia waliunyuti pale Ukraine Separists ambao ni pro Russia walipoitungua MH 17?
Ndege hawawezi kuhack? Yaani wanaiba data kwenye ofisi za Lockheed Martin washindwe hack ndege ambayo haina ulinzi wa kijeshi. Russia walihack meli ya U.S ya kivita ikazima umeme sembuse ndege ya abiria. Teknolojia inaweza mengi sana.Ndege na mawasiliano ya ndege hayaingiliki vinginevyo watu wasingehangaika ziteka na kujiua wangekuwa wanazishusha tu kwa data
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa. Hapa walikosea sana. Ingawa wanasema hata wao wanaregreat. Sasa sijui kweli wanaregreat au ni siasa tu. Maana ile haikuwa bahati mbaya ile.Kosa kubwa ni kutolifunga anga lao ili kutoruhusu safari za ndege wakijua fika kuwa kuna hatari ya mashambulizi kufanyika.
Huo ni ukurupukaji na uzembe wa hali ya juu unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote ili usijirudie tena.