Nadhani propaganda ndo zimewafikisha apa walipo kwani IRAN imekua ktk hali ya vitisho kwa muda mrefu sana na ata angekua ni wewe uzungukwe na military bases 35 za majini, angani na ardhini sijui ungefanya nini....ikumbukwe US,UK and ISRAEL all of them wanasema military options in the table if negotiations will fail to stop IRAN fro developing nuclear....na nchi hizo zote tatu zina silaha za nuclear ivi IRAN unadhani atafanya nini? Na US ilikkuja kugundua kua IRAK waliivamia kimakosa kwani ata hizo silaha za weapon of mass destruction yani za chemical and biological weapon hawakua nazo lakini IRAN hizo silaha za WMD anazo labda nuclear na IRAN kwa miongo 2 ime advance sana kwenye makombora marefu na ya kati tofauti na IRAK ilikua na scud tena za kizamani na nyingi aliziteketeza mwenyewe baada ya vita ya ghuba but IRAN ana maa elfu ya makombora with different ranges ata km atavamiwa kwani US haitakua pekeake likely ISRAEL,UK NATO pata picha ni lazima IRAN ijiandae kwani washirika wake wanaogopa nguvu ya NATO...So hii drill IRAN iliyoifanya juzi ilikua ni za kutaget military base za US ambazo zipo middle east tena jirani sana na Iran....Leo hatusikii North Korea wakitishiwa km IRAN simply ni kua tiyari nayeye wanaongea lugha moja ya nuclear na mataifa yanayomiliki silaha za nuclear....Na iran ikivamiwa nadhani middle east yote itawaka sidhani km ataziacha nchi zote za waarabu zinazo host hizo base