Acha zako tumezaliwa tumekuwaUkijiona unashabikia vita ukiwa upande wowote ule jua huna akili
Kupigana wapigane, waswagane, wauane watajijua wenyewe ila point yake ni kuwa shabiki wa upande wowote ndiyo upumbavu anaouzungumzia.Acha zako tumezaliwa tumekuwa
Tukakuta vita ipo watu wanachapana acha wapigane maana wameona ndiyo suluhisho
Umeandika nini?kinachowapa shida wakristo wa TZ,Venezuela,North Korea,Russia,China,South Africa , baadhi hazina dini zingine zina wakrsisto wengi zipo pamoja na Iran,halafu kuna wao wazee wa mungu wa Israel Kila kinachofanywa na nchi yenye waislam wengi wanakiponda😁🙃😅🤣,
CeasefireUkijiona unashabikia vita ukiwa upande wowote ule jua huna akili
Pray for IranUmeandika nini?
Unaweza kummza nungungu , halafu ukajutiaPray for Iran
Amemeza nini bajaj au bodaboda?
Wavaa Madera wanakuja kubisha🤣Ndiyo maana wamarusha penseli na vipepeo ovyo ovyo.
Huko mbele wataanza kurusha penseli na vipepeo wakiwa kwenye mahandaki maana huku nje wanakandwa kama unga wa chapati.
Na hapo Trump anasema anadipu tuuu...bado hajaweka bando awapigie.
====
U.S. Central Command said Iran “continues to maliciously launch ballistic missiles,” targeting military and civilian sites, and that American forces “remain on the hunt” to eliminate the threat. It added that “our resolve has never been stronger.”
----
NAVAL STRIKE: U.S. Central Command released a video showing American forces destroying an Iranian naval facility in the Gulf of Oman, saying Tehran’s fleet in the waterway has been reduced from 11 ships to zero in two days.
Pia soma:
Israel yadai kuua Makamanda 40 na kuharibu mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran
Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari
Ameomba, lakini washirika wa NATO wamemkatalia. Charter ya NATO Article 5 inasema kuwa mmoja wao akishambuliwa, basi wote watashirikiana kumtetea, haisema kuwa mmoja wakiamua kuanzisha mashambulizi basi watamsidia katika mashambulizi hayo. Article hiyo ni defensive in Nature, siyo offensive. Trump ameanzisha mashambulizi bila kuwa ameashambuliwa.Nimeona mahali Trump anaomba msaada wa washirika wa NATO, kama ni kweli basi hii Vita imeanza kuielemea Marekani
Rais muongomuongo na asiye na msimamo, hata washirika hawana imani nayeAmeomba, lakini washirika wa NATO wamemkatalia. Charter ya NATO Article 5 inasema kuwa mmoja wao akishambuliwa, basi wote watashirikiana kumtetea, haisema kuwa mmoja wakiamua kuanzisha mashambulizi basi watamsidia katika mashambulizi hayo. Article hiyo ni defensive in Nature, siyo offensive. Trump ameanzisha mashambulizi bila kuwa ameashambuliwa.
Trump ni mtu mzima sana wa miaka takriban 80 anayetakiwa kuwa mtu mwenye busara lakini matendo na maneno yake muda wote yamekuwa ni kiteenager; ni teenager ambaye ni bully. Hajui diplomacy kabisa zaidi ya kutishia na ku-patronize tu. Hata timing yake siyo nzuri kabisa; kwa mfano sasa anaomba msaada kwa NATO wakati wiki mbili zilizopita alidai kuwa hahitaji msaada wa NATO kwa vile ameshamaliza vita.
Sikiliza huyu jamaa hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=IPo2pbUj_HU.