mcomunisti halisi
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 103
- 328
Mara baada ya rais wa USA Donald Trump siku ya ijumaa kuwawekea vikwazo 13 kwa makampuni ya Iran kwa tukio la Iran kufanya jaribio la kurusha ballistic missile. siku ya jumamosi Iran walimjibu Trump kwa kufanya mazoezi ya kijeshi pamoja na kujaribisha na kurusha makombora ya masafa marefu na mafupi na kuonyesha uwezo wao wa namna makombora hayo yanaweza kutrack na kumtafuta adui sehemu yeyote kwenye rada na kumpiga ''missile radar capabilities'' na pia walionyesha anti missiles zao na kurusha Aircrafts angani .
Home made missiles,Radars,command&control systems na cyber warfare systems ndizo zilizofanyiwa majaribio siku ya jumamosi
Tovuti ya kijeshi ya Iran wameandika mazoezi hayo yalikuwa ni kuonyesha uwezo wao na kupuuzia vikwazo walizowekewa.Pia tovuti hiyo imesema wataendelea na majaribio hayo ya makombora ya masafa marefu na mafupi,radar systems siku zijazo.
Endapo adui akifanya makosa ,missiles zetu ambazo zinanguruma yatawaangukia''-maneno hayo alisema Gen.Amir
kwa kulijua uwezo wa jeshi letu nawahakikishia kwamba vitisho vya nje hayawezi kutudhuru.
malengo ya mazoezi yalikuwa ni kuonyesha nguvu ya Iran na kupuuza vikwazo tulizowekewa-''Gen Amir
Aina mbali mbali ya makombora na system za rada ambazo zinatengenezwa na kuzalishwa Iran na wataalamu na ma Engineer wetu mbalimbali ndizo zilizotumika katika mazoezi.Missile systems ambazo zilitumika kwenye mazoezi yalikuwemo Khordad-111 missile system yenye uwezo wa 75km na uwezo wa kutarget target mbalimbali kwa wakati mmoja,Tabas system yenye uwezo wa 60km pia ina uwezo wa kupiga adui wengi kwa wakati mmoja na sayad-11 missile system yenye uwezo wa 75km na ina uwezo wa kucontrol na kuzuia mashambulizi za adui ' -maneno hayo aliyasema Gen.Amir
Hatuto tafuta ugomvi na yeyote lakini ni haki yetu kujilinda na kuwalinda raia wetu na hatujavunja makubaliano ya UN security council bali tumefanya mazoezi kama njia ya kujilinda tu na ni kawaida''-Gen Amir
pia afisa wa juu wa bunge la ulinzi na usalama wa iran Mojtaba zonour ametishia wataangamiza military base ya US yaliyopo Bahrain na kushambulia Tel Aviv ndani ya dakika 7 tu kama Iran ikiguswa.
"Endapo adui akifanya makosa basi ni dakika 7 tu itachukua kwa makombora yetu kuiangamiza Tel Aviv na Raze ''military base ya USA iliyopo Bahrain-''Zonour