kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,120
- 24,395
Aiseee huu mtambo sio poa!! Dude linajulikana kama Khorramshahr-5 hili dude ni hatari lina mlipuko mkubwa kuliko hata yale madude ya Bunker buster ya US
Iran is preparing to test the heavy ballistic missile “Khorramshahr-5”.
Flight range: 12,000 km
Warhead: 2 tons, capable of penetrating fortified targets
In terms of destructive power, the missile surpasses the American GBU-57 MOP bomb, which is dropped from the stealth bomber B-2 Spirit.
Hii inatoka baada ya kombora hatari latest version ya khorramshahr 4 kufanya vizuri kwani kombora lake moja tu, lilitosha kuharibu kabisa mtaa mmoja huko Israel na kuwafanya wazayuni zaidi ya 2375 kupoteza makazi yao kwa kombora moja tu
Sifa ya khorramshahr 4 ni kuwa inaweza piga target 80 kwa kombora moja tu New details of the "Khorramshahr 4" missile
IRGC Aerospace Force Commander: "80 targets can be hit by firing a single missile of Khorramshahr 4."
We can make a guess that missile supports using cluster warhead which can turn it into smaller rockets.
Hiyo ni Khorramshahr 4." Sipati picha hiyo Khorramshahr 5 madhara yake yatakua makubwa kiasi gani
Khorramshahr 5 has range between 12000- 13000km while it is capable of carrying 2-ton head, It could reach target on any part of the world, including Washington DC. This is a game changer because it's Hypersonic (Max 16 Mach), no defense could stop it.
Iran is preparing to test the heavy ballistic missile “Khorramshahr-5”.
Flight range: 12,000 km
Warhead: 2 tons, capable of penetrating fortified targets
In terms of destructive power, the missile surpasses the American GBU-57 MOP bomb, which is dropped from the stealth bomber B-2 Spirit.Hii inatoka baada ya kombora hatari latest version ya khorramshahr 4 kufanya vizuri kwani kombora lake moja tu, lilitosha kuharibu kabisa mtaa mmoja huko Israel na kuwafanya wazayuni zaidi ya 2375 kupoteza makazi yao kwa kombora moja tu
Sifa ya khorramshahr 4 ni kuwa inaweza piga target 80 kwa kombora moja tu New details of the "Khorramshahr 4" missile
IRGC Aerospace Force Commander: "80 targets can be hit by firing a single missile of Khorramshahr 4."
We can make a guess that missile supports using cluster warhead which can turn it into smaller rockets.
Hiyo ni Khorramshahr 4." Sipati picha hiyo Khorramshahr 5 madhara yake yatakua makubwa kiasi gani
Khorramshahr 5 has range between 12000- 13000km while it is capable of carrying 2-ton head, It could reach target on any part of the world, including Washington DC. This is a game changer because it's Hypersonic (Max 16 Mach), no defense could stop it.
....iran inakili wamepotea zaidi ya viongozi 100 wa jeshi na raia 1000 Nitajie kiongozi mmoja aliyrkufa huko Israel