Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Who cares?!TATIZO LIPO COZ HAWAKUTAMBUI WW NA MUNGU WAKO
Who cares?!TATIZO LIPO COZ HAWAKUTAMBUI WW NA MUNGU WAKO
Ni sisi Waafrika walalahoi tunaotia huruma mkuu.Iran wanatia Huruma tu
Vp kuna tatizo nikiibariki Israeli?
Sawa wewe waombee hao wafilisti na mm acha niwabariki 🇮🇱Ndioo, utawabariki vipi wafiraji na wauaji kwa wasio na hatia, na isitoshe wanamkana yesu/Mungu wenu, na ku ukristo pia wanaukataa, na wanawaona waafrika kama takataka tu!!! Jikite kuwaombea Palestina ambao wanateswa na kuuliwa kila siku.
I love palestine, May Allah bless them all.
YeahMkuu hiyo ni Russian technology, walichofanya Iran ni Ku assemble Spare parts tu.
We ulicho copy Ni kipi mkuu....Copy and paste ya HUMVEE ya Marekani.
Koro shawWe ulicho copy Ni kipi mkuu....
Yes jamaa alikutana na jeshi la Leonidas alipoenda vamia Ugiriki, Leonidas akiwa na wanajeshi 300 tu lakini shughuli yake aliipatapata mpaka anamshinda alikuwa kampa shughuli.Iran/persia has been a force to be reckoned with since the Reign of Darius the great.
atleast wanazuia ushawishi wa us pale middle eastIran/persia has been a force to be reckoned with since the Reign of Darius the great.
kwa viongozi hawa?Nadhani hata sisi tungewekeza vizuri kiwanda cha NYUMBU kingekua kinatoa products za kueleweka kama hizi
mbona povu?Invention haina uhusiano wowote na vikwazo, after all, hizo ni Military Utility Vehicles from Russia, wairan kazi kupigapiga chabo kwa kufanya Reverse Engineering. Hawana lolote hao waajemi, wao ni kulea magaidi tu.
AmenNnachowakubali Waisraeli hawana mbwebwe za kujionesha ila ukiwachokoza ndio utajua nguvu zao. May God Bless Israeli