ha ha ha huyu wanjiru sijui mkenya wa wapi huyu hajui mambo ya kimataifa,iraq hakuwahi kufunga persian gulf,hakuwahi kushambulia visima vya mafuta vya saudi,kwa ufupi saddamu alibugi sana kubaki amekodoa macho kwa miezi sita wakati marekani akisomba wanajeshi na vifaa kujiandaa kumshambulia,the best way iraq alitakiwa aanze preemption kabla marekani hajaweza kumobilise jeshi lake,hiyo ndo maana iran wamebadili doctrine ya kijeshi kutoka defence au second strike kwenda offensive ama pre emption,so kabla marekani hajaanza serious deployment,tayari Revolutionary gurds watakuwa deep inside saudi,united arab emirate,bahran na kuwait,inaitwa taking the war to the enemy,ofcource adui hapa ni marekani lakini iran watamuumiza marekani kiuchumi kwa kuharibu infrastructure za mafuta,water desalination plants etc