Iran threatens to destroy Israel within a week

Status
Not open for further replies.

Read Bibble utajua!
 
ogopa a silence enemy in war affair.Iran has exposed himself too much kiasi military analyst wa Israel wanaweza kuwa wanajua strength na weaknesses zake...yale yale kama ya Idd Amini na Tanzania, Marekani na Talebani...

Wakati yeye anaona wiki kuifuta Israeli si ajabu Israel sees only three days to destroy Iran
 
12 tribes of Israel. ni taifa la mungu, nawaonea huruma sana tena sana Iran. Heri wapige kimya tu kuliko kumchokoza baba wa vita!

Kama wamebarikiwa mbona firaun kawafanya watumwa nakuwatesa, na hitler alivyowatesa au ilikua Baraka haijawafika bado, na hiyo palestina hawakuipundua wao bali walipewa tu nawaingereza. Na kabla ya hapo walitaka kupewa Uganda au argentina lakinihawakuitaka.
Kama kushinda kivita basi watashinda kwa msaada wa mabwanazao tu.
 
Matatizo haya ya waarabu ni makubwa sana. Wanaongea kama idd amin wakati anampiga mkwara baba wa taifa JK.
 
Mbona mnabisha? kama Waisrael ni taifa la Mungu na hao wa Iran wametokea wapi? wote sisi na wa Mungu ! sisi tusubiri tu nani atapigwa na nina imani Iran kama imeamua basi INAWEZA ! na hao NATO na wasogee! mbona wameingia Iraq na kwengine kte mbona WANASHINDWA KUTIA PUA YAO NDEFU IRANI ! wao si wababe na Ahmedinejad ameshasema sasa wao basi na wajibu ! tunasbiri ! hata mimi ningefurahi kuona Israel inaondolewa katika ramani ya Dunai na ikishaondolewa basi bila shaka DUNIA ITAISHI KATIKA AMANI MILELE!
 
Tatizo ukipigana na Israel ujue unapigana na NATO, na ndiomaana israel inajitamba kwa sababu hayuko peke yake. Kwa hiyo iran awe carefulatakuja kuandamwa na nchi zote unazozijua .
 
Israel amekatazwa na US kuharibu hiyo mitambo ya Iran. Mossad wameshamaliza ground work ilichobaki ni F16 na Stealth fighters kuangusha mabomu yanayoongozwa na settilites. Fullstop
 

Ashante! sana @ Nonda. Hata hivyo JF imefanya nikajikakamua sana. Kuhusu OLN, hatuna habari zezote kuhusu vile vitu vinavyoendelea, lakini hii habari ya ICC ndio inaonekana zaidi.

ningekusihi utembelee hapa ili ufahamu wazi wazi kuhusu oparesheni Linda Nchi
source:http://www.standardmedia.co.ke/InsidePage.php?id=2000050824&cid=4&
 
Threats nothing but threats. Nobody is insane enough to unleash nuclear war,THE BOMB is a deterrence weapon, used in offensive we all loose both the aggressor and victim.
 
Natamani sana hawa wairan wawape kichapo Waisrael ili Dunia iwe na amani wao wanasema wana nguvu za mbingu..hivi kuua watu kila pahala ndio nguvu ya Mungu hiyo?!!! Mungu gani muuaji na mtenda maovu kama huyo?!!! Iran piga hao watu bana wapata adabu asee...
 
Iran hawataki vita lakini wameonya lau Israel itawashambulia basi hamna mchezo katika kipindi kisichozidi siku saba Israel kwishney. Hao wote wanatoa vitisho vya propaganda.
 
12 tribes of israel. Ni taifa la mungu, nawaonea huruma sana tena sana iran. Heri wapige kimya tu kuliko kumchokoza baba wa vita!

wewe usiwe mjinga kila taifa ni lamungu na kila mtu ni wa mungu acha kudanganyika
wewe unadhani kila siku ni jumapili? Kama taifa teule ni kwa nini wanaihofia irani mpaka maswahiba wao us wanaiwekea irani vikwazo?
Irani itabaki taifa tishio huo ukanda na bila intervention ya us hakuna wa kuizuia irani utakeusitake huo ndio ukweli
 
Nashukuru, umenifumbua macho.

ukienda AboveTopSecret.com hasa jukwaa la www 3 kuna update za ukweli kuhusu sakata la iran vs usa,israel na hata DEbkafile.com hapa jf utapata kijujuu sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…