Iran summons Pakistan envoy over border guard deaths

Iran summons Pakistan envoy over border guard deaths

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,196
Ndio Habari ya Mjini hiyo... Kwa Mataifa yaliyojitangazia kuwa ni ya Kiislam kufungiana Ubalozi ni jambo la kushangaza sana... Maana Utata ulianza pale Police wa Iran walipouwawa katika Mipaka baina yao na Iran aliilazimisha Pakistan kuwakamata wahusika sasa utata pale Pakistan aliposhindwa na Ikabidi Iran imfukuze mara moja Balozi wa Pakistan... kitakachofuata sijui ni nini Sharia sijui zinasemaje hapo..

10175033_10152437942138603_1026783615954637011_n.jpg

Iran summons Pakistan envoy over border guard deaths

Iran has summoned the Pakistani ambassador to Tehran over a series of terrorist incidents that killed several Iranian guards at the Pakistani border.

On Saturday night, Foreign Ministry Director General for West Asia Affairs Rasoul Eslami protested against the fact that the Pakistani territory is being used by terrorist groups and bandits to attack Iranian border guards, and called on Islamabad to take serious measures to prevent similar incidents.

In the latest border clashes, two Iranian border police officers were killed and several border guards injured in southeastern Iran on Thursday in an armed conflict with a group of bandits at Iran-Pakistan border.

"It is unacceptable for us that a number of terrorists and bandits trespass our territory from the Pakistani soil and attack and kill our country's border guards," Eslami told Pakistani Ambassador Noor Mohammad Jadmani.

"Such problems should not harm the friendly ties between the two countries and the officials should find a solution and prevent the two nations' enemies from achieving their objectives," he added.

Jadmani, for his part, expressed sorrow over the terrorist incident and pledged to notify Tehran's objection to Islamabad.

Iran has repeatedly criticized its eastern neighbors for failing to rein in terrorists who cross back borders into these countries after carrying out their attacks on Iran's soil.

On Saturday, Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) Ground Forces' second-in-command, Brigadier General Abdollah Araqi said Iran has evidence proving that terrorists have infiltrated into Iran from the neighboring Pakistan.

On October 8, three Iranian police officers were killed when they, along with other patrol police forces, came under a night attack by armed bandits while on a mission in the city of Saravan in the southeastern province of Sistan-Baluchestan.

Another police officer was killed after an explosives-laden car taken to the police station by terrorists went off hours after the first incident.
Iranian security forces have apprehended a number of perpetrators behind the recent killings.

Source: Press TV
 
Imetulia hii habari. WENYEWE kwa wenyewe
 
Kweli kuna wajinga wengi humu. Yaani mtu hana akili kabisa ya kutambua anapoona neno Uislamu, Muislamu, a- Kiislamu. Sikujua chuki na ujinga umefikia hivi kiasi kuuingiza Uislamu hata kama masuala ni pure politics. Yaani Waislamu hawakosani? Hujasikia ndoa zikavunjika baina ya Waislamu wewe mpuuzi?
Na je kama ni mataifa mawili ya Kikristo? Au hakuna mataifa ya Kikristo yanayovujiana uhusiano?
 
Kajifunze maana ya "Islamic Republic" halafu uje hapa. You are in the muhammadicaco box, come out and be free from jibrilic mental slavery.
 
Jadili mada acha kubwabwaja. Wewe unasema dini yako ni ya amani na ni ya mungu. kwa nini mnatengeneza mungu asiyejua neno amani? Ndoa mnatengenezea hadi mahakama kwa vile migogoro yake haisuluhishiki kwa njia ya kawaida. Mkikaa na watu wa imani zingine, mnawachinja na kuchoma nyumba zao za ibada mkitka mbaki peke yenu. mkibaki peke yenu na kutanganza maisha bora kwa kila muislamu, mnaanza kuchinjana wenyewe kwa wenyewe kama syria, pakstani, afganistani.k. Mkiona ndani ya nchi zenu mnatoshana nguvu, mnaanza kuingia kuua hata wenzenu wa wa aina yenu katika nchi jirani. Ninyi mtakuwa na amani na nani?

Huyo mungu wenu ni kama nyonya damu kwa kuwa kil asehemu inayotangaza kujiendesha kwa misingi ya dini hiyo, panageuka ranch ya vampires.
Kama ni politics kila sehemu ziko na zinaundwa na jamii husika. Sasa kwa nini Islamic politics ndizo ziwe na mfumo wa mauaji na uadui na binadamu wote? Huwezi kuendelea kupinga kwamba kinachofanyika katika nchi za kiislam, ambazo zimetangaza kuongoza watu kwa mabavu kwamfumo huo, ndiyo tafsiri halisi ya uislam!. Hili halina ubishi na naomba uone haya kuzidi kutukana hapa. Vinginevyo tutatona matusi haya pia ni sehemu yako ya kutekeleza uislam.

By the way, ni nchi gani zilizotanganza kwamba na nchi za Kikristo zinazochinjana na kuvamia kigaidi nchi nyingine ya Kikristo unazozisema? Weka hapa tuzijadili.

Lakini ukweli ni kwamba kwenye uislam mauji, na matusi ni samaki na maji. Sijui huko madrasa ndiko huwa mnapewa tution hizo?. Na mkigundua watu wanawafahamu vile mlivyo mnaanza kuatukana kama ulivyomtukana huyu aliyekuwa anachangia hapa.

Kweli kuna wajinga wengi humu. Yaani mtu hana akili kabisa ya kutambua anapoona neno Uislamu, Muislamu, a- Kiislamu. Sikujua chuki na ujinga umefikia hivi kiasi kuuingiza Uislamu hata kama masuala ni pure politics. Yaani Waislamu hawakosani? Hujasikia ndoa zikavunjika baina ya Waislamu wewe mpuuzi?
Na je kama ni mataifa mawili ya Kikristo? Au hakuna mataifa ya Kikristo yanayovujiana uhusiano?
 
Croatia ni wakatoliki na.waserbia ni.wa.orthodox christians walipigana sana japo nchi zao hazijaitwa za kidini bali waumini wao ni wakristo huo ni mfano tu waliokuwa wakitwqngana ni.wakristo kwa wakristo tafauti madhehebu.
 
Kumbe Haya ordhodox ni " wakristo"!!!!!!!!????????
 
Back
Top Bottom