Iran ready to accept Nuclear deal changes if U.S returns,lift sanctions: Spokesman

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Naona "maximum pressure" imeanza kufanya kazi,Iran ameanza kutepeta.
Screenshot_20190925-154806.jpeg
 
Wapi Irani wamekubali watavunja missile zao? Trump atapewa same deal aliyopewa Obama kama si chini ya deal aliopewa Obama.
 
Washaona wanapasuka msamba,wamesanda.
Since 1979 up 2 ss hamna msamba alochanika na hakuna msamba ato chanika

Vikwazo vina iumiza sana sana sana IRANI Ila usidhanie kama watasanda

Jamaa walisema kusalimu Amri Mbele Yamabeberu Kuna Gharama Ila Kua na Misimamo Kuna gharama zaidi Japokua Ndio Kunawafaa maana wanaku na maamuzi yao bnafsi



MKUU USITEGEMEE IRAN KUBADILI MISIMAMO KWAHIKI SUALA
 
Back
Top Bottom