Iran launches first satellite since 2012

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Iran imerusha satelite katika maadhimisho ya miaka 36 ya mapinduzi ya Iran.

Hii ni satelite ya 4 kurushwa na Iran.

Iran ni miongoni mwa nchi zenye maendeleo makubwa ya teknolojia duniani.

Source:Yahoo
 
hii ni symbolic zaid kuliko faida, low earth orbit satellite technolojia ya 50's wao ndo wanapeleka leo, hawatazitumia kwa chochote izi satellite!!!
 
hii ni symbolic zaid kuliko faida, low earth orbit satellite technolojia ya 50's wao ndo wanapeleka leo, hawatazitumia kwa chochote izi satellite!!!

mwisrael kapeleka ngp?
 
Technology ata ikiwa ya miaka 50's bado inafanya kazi japo lazika iwepo improvement....AK 47 imetengenezwa miaka hiyo lakini bado ipo to date..wakati IRAN ilipotengeneza attacking copters wamarekani walisema ni teck ya 50's baada ya kuzionesha wataalamu wa kijeshi wa Israel wakasema IRAN attaking copters are more better than US cobra na Israel anazo hizo cobra za US...so never underestimate IRAN kwanza leo wame lunch 2 indigeneuos HOVERCRAFTA na angalia ni nchi ngapi zenye uwezo wa kutengeneza hovercraft
 
Na nyie pelekeni yenu! Kweli wivu mwingine ni wa kike!
 
Niliona haina haja hata ya kumjibu huyo mjinga, ikiwa USA analalamika kwamba hio Satellite inawatisha USA, yeye anasema ya zamani hahaha.
 
hii ni symbolic zaid kuliko faida, low earth orbit satellite technolojia ya 50's wao ndo wanapeleka leo, hawatazitumia kwa chochote izi satellite!!!

wewe nchi yako imepeleka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…