Sawa,wao waendelee kutengeneza makombora huku wananchi wao wakila nyasi
Dah kweli mkuu nimemis kusikia mauji uwanja wa medaniIran na Korea naona hata kama wanaunda makombora gani bado ovyo tu! Dunia imepooza kweli tangu Osama akufe! Yaani kidogo alikuwa anatia amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Wewe Tata wambura unaongea nini banaa, Iran sio wale ndugu zako wanaouwa mifugo huko Tarime na kuchoma nyumba za watu [emoji16][emoji16]
Harafu mukuu, hao jamaa zako si ndio wanaokutambua wewe ni NYANI tu, sasa yanini unawashobokea watu wanaokutambua wewe ni SOKWE! ungana na sisi kumsapoti mwanaume wa shoka
Wakikumbuka kilichowakuta vietnam ya kupewa taarifa sizo basi wanachoka kwelikweli wanaona bora waichokonoe Tz.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao jamaa kuvamiwa itachukua muda.Lazima kwanza USA afanye uchunguzi wa kina.
HV MKUU WW3 ITAONYESHWA LIVE KTK KIDEO NATAKA NIWEKE BANDO KABISA NAIISI ITAKUA BONGE LA SIZONIIran na Korea naona hata kama wanaunda makombora gani bado ovyo tu! Dunia imepooza kweli tangu Osama akufe! Yaani kidogo alikuwa anatia amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
wekeni na picturs ya hayo madude humu sio kila dude tulione ktk mamuvuu ya kina ramboDuuuuuuuuu, balaaaaaa
Itaoneshwa kwenye Deathrow channel [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]HV MKUU WW3 ITAONYESHWA LIVE KTK KIDEO NATAKA NIWEKE BANDO KABISA NAIISI ITAKUA BONGE LA SIZONI
Mkuu mie napenda wapasuane maana wanatuletea dharau wanatutupia magonjwa mengine yamekaa pabaya inafikia hatua mpaka mkeo unamuogopa unamgegeda na ndom.Itaoneshwa kwenye Deathrow channel [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]