We we ambapo nchi yako haitengenezi hayo makombora wana nchi wake hana hali gani?Sawa,wao waendelee kutengeneza makombora huku wananchi wao wakila nyasi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Iran na Korea naona hata kama wanaunda makombora gani bado ovyo tu! Dunia imepooza kweli tangu Osama akufe! Yaani kidogo alikuwa anatia amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Ulishawahi kufika Iran? Check hapo sio Tehran bali ni mkoani huko Mashhad (Azad grand square)View attachment 1177860
Eeeeeeeeeh?Hiyo ni Iran?
Si mchezoooooooAisee heheeee
We we ambapo nchi yako haitengenezi hayo makombora wana nchi wake hana hali gani?
Ulishawahi kufika Iran? Check hapo sio Tehran bali ni mkoani huko Mashhad (Azad grand square)View attachment 1177860
Mbona nyie nchi yenu hamtengenezi makombora na bado mnakula nyasi?Sawa,wao waendelee kutengeneza makombora huku wananchi wao wakila nyasi
Wanajitahidi! Tatizo vikwazoUlishawahi kufika Iran? Check hapo sio Tehran bali ni mkoani huko Mashhad (Azad grand square)View attachment 1177860
Wanaokula nyasi hapa bongolala wanapenda wenyeweMbona nyie nchi yenu hamtengenezi makombora na bado mnakula nyasi?
Kelele zimekuwa nyingi sana, huku North Korea kule Iran.
Duh km 400 angani si anaifikia hadi international space station kule angani...
Duh km 400 angani si anaifikia hadi international space station kule angani...