Iran kwenye ubora wake...

Iran na Korea naona hata kama wanaunda makombora gani bado ovyo tu! Dunia imepooza kweli tangu Osama akufe! Yaani kidogo alikuwa anatia amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Duuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We acha tu
Afadhali Tao wao wanajilinda na uvamizi wowote kutoka kwa Israeli, USA na baadhi ya nchi za kiarabu. Sisi huku tunagombea mafuta yaliyomwagika kunalipuka na tunakufa 100. Mwenye njaa nani hapo?
 
Vijana wanapiga kazi mpaka anaejiona mungu m2 anatia kidole kwa mdomo shenz taipu us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…