Kelele zimekuwa nyingi sana, huku North Korea kule Iran.
Kweli wako mbali cjui nasi tutawfkia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao jamaa kuvamiwa itachukua muda.Lazima kwanza USA afanye uchunguzi wa kina.
Kama mtawala wenu wa miundombinu anavyoendelea kuwajengea reli ziszo na impact huku raia wakikimbilia maroli ya mafuta yaliyopinduka.Sawa,wao waendelee kutengeneza makombora huku wananchi wao wakila nyasi
Iran viburi na wameungana Rusia yetu macha na msikio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huamini kama Iran inaweza?