Israel hata Hamas hawawezi, vita vya mwisho Israel yeye ndio aliomba visimamishwe na kakubali watandoa vikwazo lakini sa anajifanya mwamba, nasikia Hamas wanataka wanzishe tena vita. Hayo ni maoni ya UN sababu wao USA, Egpty, Israel na PLO ndio walikubaliana na Hamas ili vita visamaishwe lazima waondoe vikwazo na waijenga Gaza.Ishmael yuko wapi. Mabwana zake walianzisha sokomoko na Hezbollah, nao wakalipiza kisas.
Niliwahi kusema humu, ni rahisi kwa IDF kuwatwanga HAMAS, lakini.inapokuja Hezbollah inakuwa issue nyingine. Kwa kichapo walichofanya dhidi ya IDF, ingekuwa HAMAS wangekula kichapo mfululizo kwa kuwa wanawamudu. Hawa Hezbollah hawakopeshi kabisa. Wanazo long missiles ambazo ni rahisi kuzirusha na kuleta madhara ndani ya ardhi ya Israel. Kwa kifupi kuna sifa nyingi hupewa IDF lakini kiuhalisia alipaswa hizo sifa ziende tu US kwa maana yeye ni kila kitu japo hataki ajulikane!
Iran ni levo nyingine sio kama Muisrael kila kitu anasaidiwa amelemazwa na misaada ya USA.
Israel bila NATO, EU, USA ni sawa na Burundi tu. Hakuna cha taifa takatifu.
Israel inasimama peke yake economically na militarily.
Hebu angalia records uone mwenyewe Israel ilivyo njema.
Uwe unajihabarisha, usiwe unaweweseka tu.
Link WRMEA | U.S. Financial Aid To Israel: Figures, Facts, and Impact
Link2. U.S. military aid to Israel exceeds $100 billion - Diplomacy and Defense - Israel News | Haaretz
Link3.Some of Israel’s Top Defenders Say It’s Time to End U.S. Aid - The Daily Beast
The reverse is true.
USA ndio inasaidiwa na Israel kwa military technology.
Ni uongo wa kutupwa huu. Technology kama huna fedha ni bure. Ni kujidanganya kuwa siku US akiachana na Israel US itatetereka, lakini the reverse is true. Kuna watu humu ni washabiki wa ajabu kwa Israel, wnamsingizia uwezo ambao hana!
Ni uongo wa kutupwa huu. Technology kama huna fedha ni bure. Ni kujidanganya kuwa siku US akiachana na Israel US itatetereka, lakini the reverse is true. Kuna watu humu ni washabiki wa ajabu kwa Israel, wnamsingizia uwezo ambao hana!
Angalia na pande hizi kidogo tu, halafu uniambie Marekani wako wapi na 'pesa' zao.
Technology ndio inaleta pesa, not the other way round.!!
Israel showcases drone technology as the worldâs top exporter - FSRN
Hamna kitu hapo. US ataendelea kumsaidia Israel hadi dunia iishe. Siku akijitoa, ndo mwisho wa Uzayuni. NATO, US, UK wakiondoa VETO zao na kukaa pembeni kwa miaka 2 tu shughuli imekwisha. Ila naamini hawawez kuthubutu kufanya hivyo watamuangamiza mdogo wao. Taifa lile halikuwepo. Ndipo kwa utashi wa Wazungu wkalazimisha liwepo ili kuwadhibit waarab. Wanalitumia chinichini kwa kupata info zote kutoka Arab Nations. Kinyume na hapo wala hawana kazi nalo kwa chochote. Military Aids kutoka US kwa mwaka ni bajet kubwa sana.
Angalia na hii uone jamaa walivyo njema..!!
Wakawapiku hata hao wengineo.. uliowataja...!!
Israeli firm beats out US in winning lucrative arms deal with India - Israel News - Jerusalem Post
Angalia na pande hizi kidogo tu, halafu uniambie Marekani wako wapi na 'pesa' zao.
Technology ndio inaleta pesa, not the other way round.!!
Israel showcases drone technology as the world09¢ã6¾4s top exporter - FSRN