Members
Ritz na
Webabu walituaminisha kuwa baada ya kile kipigo kule ndani Iran walikuwa wanajipanga kuja lipiza. Ni miezi mingi imepita wamejinyamazia tu. Toka wadhalilishwe na wanawake wa Kiyahudi.
Nashindwa elewa wanatumia miezi mingapi kujipanga katika suala hili. Mbona ni suala ambalo lingepaswa kuwa limemalizika kwa haraka sana?