Iran anavyo mdhalilisha USA.

tatizo la media kama cnn au fox news wanalazimisha hii story kua kubwa wakat ni kitu cha kawaida tu. boat la marekani limeharibika kwenye bahar ya iran. iran imewakamata na kuwasaidia kurudi kwao. uyo mtangazaji wa cnn ni kilaza kweli eti hakupenda wamerekani kupigishwa magoti wakat wapo kwenye territory ya iran...kuna media ni anti iran sana zinachukia kuona marekani na iran wame handle hii situation bila ugomvi wowote
 
Back
Top Bottom