Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,834
- 14,470
- Thread starter
-
- #41
Iran kasema hataki Hezbullah aingie kwa sasa lakini US akingia Hezbullah wataingiaHizbollah kinamfunga makubaliano ya ceasefire aliyosaini na Israel kwa shinikizo la serikali yake kuu.
Huyu anatumiwa na nchi yake kusema hayo anadhani pesa ataenda nazo kaburini hahaha
Hahaha hao wameishiwa pesa walikuwa Cyprus hotel zimewafukuza, kuna rafiki yangu yuko Cyprus anasema wengi wao wanalala nje wamefilisika ikabidi Israel awaendee kujidai wamewaokoa. Kwa tarifa yako sa hivi wanawake zao wanazigongesha wapate sehemu ya kulala na mlo tu.Kwa taarifa yako tu kuna wayahudi zaidi ya 200,000 wanarudi nyumbani ambao kati ya hao 3,000 wamefika leo hii na Meli!! Na hao 21,000 sijui umewatoa wapi hao ni wageni kurudi kwao haina shida ni kawaida kwa Wiki hii tu watu zaidi ya 200,000 wanaingia israel kwa shangwe kama unavyowaona kwenye video!!!
Hapo hakuna hoja ya kujenga!!!!Reading between the lines unaonekana wazi wazi analytical mind yako ni dismal kabisa, ndio maana unakimbilia kutumia lugha za mitaani, huna uwezo wa kujenga hoja zenye mshiko!!
Endelea kuamini ujinga huo!!! Kuna wengine wanaingia kesho zaidi ya 30,000Hahaha hao wameishiwa pesa walikuwa Cyprus hotel zimewafukuza, kuna rafiki yangu yuko Cyprus anasema wengi wao wanalala nje wamefilisika ikabidi Israel awaendee kujidai wamewaokoa. Kwa tarifa yako sa hivi wanawake zao wanazigongesha wapate sehemu ya kulala na mlo tu.
Sawa wacha warudi tu wakaishi kwenye mabunker. Kule wa Israel wameanza kulalamika kuhusu wizi wakingia kwenye metro au bunker wanaibiwa sa wanalalamika kwamba wakibaki kwenye majumba yao ni hatari.Endelea kuamini ujinga huo!!! Kuna wengine wanaingia kesho zaidi ya 30,000
Hii video ni AI kwa hiyo kajipange upya!!!Sawa wacha warudi tu wakaishi kwenye mabunker. Kule wa Israel wameanza kulalamika kuhusu wizi wakingia kwenye metro au bunker wanaibiwa sa wanalalamika kwamba wakibaki kwenye majumba yao ni hatari.
Haya wambie warudi tu ili wapunguzwe idadi, tazama kipigo cha leo Iran kapiga silaha alizo peleka America na Germany jana
View: https://youtube.com/shorts/jdZErc1dOe8?si=9x_RD7QnWDmBADRO
Okay tazama wanao kimbia na utazame kwenye bunker au shelter zaoHii video ni AI kwa hiyo kajipange upya!!!
Hezbollah hawana serikali wahuni tu wale walipewa silaha wakaanzisha vikundi, ingawa nawakubali sana lakini walipigwa hakuna cha cease fire wala nini.Hizbollah kinamfunga makubaliano ya ceasefire aliyosaini na Israel kwa shinikizo la serikali yake kuu.
Hamna mkuu, Hizbollah ilikua inaendelea na vita wakashurutishwa kusaini makubaliano ya usitishwaji vita.Hezbollah hawana serikali wahuni tu wale walipewa silaha wakaanzisha vikundi, ingawa nawakubali sana lakini walipigwa hakuna cha cease fire wala nini.
Waliamshe basi kulinda sponsor anapigwa huko, tatizo nini?
Leo tena nimeona habari kiongozi wao kesha dedishwa, sijui huwa wanakaa wapi Israel anawaona na kuwachukua kirahisi hivyo.
Hawa wanashindwa hata na gwajima anajificha na Jeshi halimpati?
Sasa walishurutishwa na nani anayewapangia wampige nani na lini?Hamna mkuu, Hizbollah ilikua inaendelea na vita wakashurutishwa kusaini makubaliano ya usitishwaji vita.
Maana Israel alianza kulipua raia na kuacha vita kusini na Kulenga Central Lebanon.
Avatar yako inakufanya ushindwe kutoa judgement ambayo ni rationalLaiti Kama muajemi angekua hana anga imara Leo hii msingeona watu wa ulaya na mafile kuzunguka zunguka kutafuta suluhisho, ni Kwamba kisu kimegusa mfupa
Bro hivi unajua kama Hizbollah ilipewa nguvu baada ya kuwasaidia wakristo kuuawa katika civil war dhidi ya sunni na kusaidia kuwaondoa Israel Bint Jubeir?Sasa walishurutishwa na nani anayewapangia wampige nani na lini?
Wao ni kundi tu ndani ya Lebanon hawana serikali, Hamna chochote wanlinda zaidi ya agenda yao ya kutaka kuiondoa Isreal, wapigane waache visingizio.
wanashurutishwa vipi sasa kuacha kupigana, waseme walipigwa wakazidiwa au wamekosa supply ya silaha?
Sasa uwezo wa kuwapiga Israel ulienda wapi, aliondoka nao Nasralah? Tunataka vita hatutaki hadithi.Bro hivi unajua kama Hizbollah ilipewa nguvu baada ya kuwasaidia wakristo kuuawa katika civil war dhidi ya sunni na kusaidia kuwaondoa Israel Bint Jubeir?
Kwa haya matukio ndio wakapewa umuhimu kiasi Wana viti bungeni.
Serikali kuu ikiamua inaweza ikawaondolea huo umuhimu pia vile vile kwa kuanza kuwapa jina baya kwa raia wanaowaongoza kusini.
Raia walishaanza kuuawa ilikua haina namna wao kutupa taulo.
Tatizo huwa hamsomi na kufahamu alicho ongea Kosugi ni kwamba Israel alianza kupiga civilian area kule Beirut ili kuitia pressure serekali ya Lebanon wamkataze Hezbullah kuendeleza hio ndio reason. Hezbullah bado wako fit kabisa.Sasa uwezo wa kuwapiga Israel ulienda wapi, aliondoka nao Nasralah? Tunataka vita hatutaki hadithi.
Hawakuamini wenzao wamekimbia majumba yao.Wayahudi wa buza hawaamini kinachotea mamaee.
Bora umenisaidia mkuu.Tatizo huwa hamsomi na kufahamu alicho ongea Kosugi ni kwamba Israel alianza kupiga civilian area kule Beirut ili kuitia pressure serekali ya Lebanon wamkataze Hezbullah kuendeleza hio ndio reason. Hezbullah bado wako fit kabisa.
Hahahaha 😆Huyu anatumiwa na nchi yake kusema hayo anadhani pesa ataenda nazo kaburini hahaha