Iran: 40 years after revolution

said Nundu JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
463
500
Iran after Forty Years of Revolution

written by Yusuf Salamah
khilafah.com

In 1979, Khomeini succeeded in overthrowing the Shah of Iran Reza Pahlavi and founded an “Islamic” republic in Iran based on what was then called the Wilaya al Faqih, allowing the clerics to be at the head of the pyramid in power governing by what they see as Islam, which is in fact far away from the Deen of Islam in its entirety.

In the same year, Hizb ut Tahrir published a book revoking the constitution of this new state, which was prepared by a group of their jurists, politicians and intellectuals who concluded what is known today as the Islamic Republic. Their first violation of Sharia was to make legislation for the people and people the source of power, just as in the Western or Eastern Democratic republics, in addition to their endorsement of Shiite sectarianism in the Constitution and many other infringements and falsifications that the party explained in its book, Revoking the Iranian Constitution.

This revolution was at that time promising and motivating for the distressed and vulnerable peoples of the Muslim countries who hoped to find in the revolution a path to salvation from their rulers through what Khomeini then called the export of the revolution. Today, forty years later, Iran groans under the yoke of turban-wearing dictatorships and languish under the oppression of man-made constitutions that are not different from its predecessors and the similar constitutions of the rest of the Muslim countries.

In addition to intellectual repression, political authoritarianism and persecution of those who oppose or contravene, the economic situation is even worse, from the deterioration of the currency, high prices, rising unemployment, increasing poverty and other economic problems of the society and the consequent humanitarian and political problems. This is because neither the Iranian constitution nor the regime in force has a legal basis or a commitment to the Ahkam (provisions) of Allah and His religion and compliance with His law. Allah says the Truth: وَمَنْ أَعْرَضَ عَن ذِكْرِي فَإِنَّ لَهُ مَعِيشَةً ضَنكاً “And whoever turns away from My remembrance – indeed, he will have a depressed life” [Ta-Ha: 124]

Yes, there was nothing of Islam in the state except the name in a worthless title, and in my view, this is intended in itself to distort the shining and clear image of Islam and its representation in republics and kingdoms that have nothing to do with it, and whose slogans do not increase nearness to Allah, nor keep more distance from the tyrant, as was the case with the ISIS organization, which falsely called itself a state of Caliphate! This is in addition to the betrayal of these mullahs to Allah, His Messenger and the believers by their cooperation with who they call the “Great Satan”, whether in facilitating the occupation of Afghanistan or the colonization of Iraq and the burning of Syria, Yemen and other Muslim countries.

Forty years have passed, repeating the slogan “Death to America”, yet, America is in its vicinity and shelter to implement through it and with it its plans to destroy the Middle East and protect the Jewish entity.

Forty years have passed, and we hear the slogan “Death to Israel”, but we did not hear a single gunshot, not to mention a missile or a tank directed against this vicious occupying enemy. The Revolutionary Guard Forces became within gunshot from the occupied borders of Palestine, but instead of fighting Jews they kill children and women in Hama and Aleppo and their countryside. They surround the elders in Ghouta and in Afrin, and throw lava over our people in Idlib and the rest of the beloved Ash-Sham.

Woe to that revolution that rose on the necks of martyrs who sacrificed in the way of Allah for Islam and its arrival to governance, so Islam became its enemy fighting it alongside Russia and America and the butcher of the era Bashar Assad.

It is strange that some people are still deluded or fantasizing that this revolution represents a resistance front and that it stands by the Muslims in their issues, such as the issue of Palestine, the Rohingya issue in Myanmar, the Uighur issue in East China, or other Muslims issues that need military force to resolve and to lift the injustice of the vulnerable, who since his arrival on the French plane, Khomeini has continued repeating saying it is a revolution of the vulnerable.

The real revolution in which people guarantee the lifting of injustice from humanity is the coming revolution that will overthrow the dark regimes and the existing constitutions to be replaced by the promising Khilafah state (Caliphate), the Khilafah Rashidah upon the Method of Prophethood.

Allah is our Protector; and Excellent is the Protector, and Excellent is the Helper.
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,489
2,000
Naposema wazungu hasahasa wale Wakristo wataendelea kuwa mbele kuliko waarabu wa Kiislamu huu ndiyo ushahidi. Wanachokifanya Wasunni na Washia leo hii kilifanywa na Wakatoliki na Waprotestanti miaka kama 300 iliyopita: Baada ya kuona tofauti za kidini hazina madhara yoyote zaidi ya kusababisha maumivu, mateso na vifo wakaamua kuachana nazo na kusonga mbele wakielekea mapinduzi ya viwanda mnamo karne ya 18 hadi 19.

Leo hii huyu aliyeandika makala hii ananishangaza kwa ufupi wake wa akili hasa pale anaposema Serikali ya Irani ilifanya makosa kuruhusu watu kutunga sheria au kuwa chanzo cha sheria. Hivi anafikiri hata The Caliphate ilikuwa inaongozwa na Kurani Takatifu peke yake ??

Hivi unadhani Sultan Salahadeen The Kurd aliyokuwa anasaini mikataba ya amani na Wakristo kule Yerusalemu zile kanuni za kisheria zilikuwa zimeandikwa kwenye vitabu vya dini au utashi wa kibinadamu ?? Nchi haiwezi kutawaliwa na sheria za kidini peke yake, Wakatoliki na janja yao yotee walijaribu yakawatokea puani na Ulaya ikajikuta imeingia kwenye vita ya dini ya miaka 30 (Thirty Years War) kisa tu ujinga wa mapadri kutaka kutumia vitabu vya dini kutawala.

Halafu upande wa pili wa shilingi, anaposema Iran inaua watoto kule Allepo anasahau kuangalia ni jinsi gani Saudi Arabia inachinja watoto kule Yemen. Kikubwa kuonesha hawa waandishi wa Hizbu Tahrir ni makanjanja anasahau kwamba uwepo wa Iran nchini Syria ni kwa mujibu wa sheria za kimataifa kwasababu aliombwa msaada na serikali ya Syria.

Anasahau kwamba walioua watu wengi kule Syria ni mataifa ya Kiislamu kama Qatar, UAE, Saudi Arabia na Uturuki. Wao ndiyo waliunga mkono makundi yanayochinja watu kama yale ya Al-Nusra Front na Daesh. Kama Iran asingeingia Syria basi leo hii ile nchi ingekuwa imevurugikiwa kabisa kama Libya, Afghanistan na Iraq. Sasa ninyi Hizbu Tahrir mnaona ni sawa kabisa Syria iwake moto bila sababu yoyote ile na Iran asisaidie kweli ??

Eti bwana Nundu hebu tusaidiane hapa....
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,489
2,000
Puppet leaders in the Muslim lands is our big challenge as the ummah
Hakuna kibaraka wala nini, mnaojiroga ni ninyi wenyewe. Ile Mashariki ya Kati hata kipindi ambacho Washia hawajawa na nguvu sana kulikuwaga na fujofujo tu. Waarabu hawana tofauti sana na Waafrika, nao wanapenda michezo ya kuuana-uana kwasababu za kipuuzi puuzi tu.

Waislamu wanamsingizia Mustapha Kemal Ataturk kwa kuangusha dola la kikalifeti la Uturuki. Lakini ukweli mchungu ni kwamba Mashehe wa kiarabu wa kutoka Arabia na sehemu nyingine ndiyo walienda kusaini mkataba wa siri uitwao Sykes-Pikot Treaty na Waingereza na Wafaransa na Wayahudi wakikubaliana kwamba vita ya kwanza ya dunia ikiisha basi watalivunja dola la kiislamu la Uturuki na wao waarabu watapewa uhuru wao ili waendelee na kujitegemea huku wakiendelea kula tende, halua na kunywa maziwa ya ngamia huko jangwani.

Mzungu akawazidi akili, Uturuki imevunjwa mwaka 1920 baada ya Mkataba wa Versailles. Uingereza akajikamatia Mashariki ya Kati kiulaini huku akiendelea kuwanyonya tu akajibebea na Palestina kama Mandate Territory na maisha yakaendelea tu.

Kazi sanaa, kazi sanaaa kuishi kwenye ulimwengu wa tatu. Kila kitu utasingizia mabeberu na vibaraka wao. Tunachosahau ni kwamba hata kabla ya mabeberu kuwepo waislamu na waarabu bado walikuwa wanachinjana tu.....
 
Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
745
1,000
Mwandishi anajichanganya mwanzoni anatuambia namna gani utawala wa Iran umebase kwenye elementi za umagharibi zaidi ya dini ya kiislam ..lakin baadae anatueleza kwamba utawala wa Irani Ni kiimla?
Hivi middle East kuna utawala wa kiimla zaidi ya utawala wa alsaudi na genge lake.?Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua tatizo lako maana unapinga na kukubali kwa wakati mmoja. Unapinga hakuna vibaraka na unakubali walisaini sky treat!
 
said Nundu JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
463
500
Mwandishi anajichanganya mwanzoni anatuambia namna gani utawala wa Iran umebase kwenye elementi za umagharibi zaidi ya dini ya kiislam ..lakin baadae anatueleza kwamba utawala wa Irani Ni kiimla?
Hivi middle East kuna utawala wa kiimla zaidi ya utawala wa alsaudi na genge lake.?Sent using Jamii Forums mobile app
Wala Saudi Hana tofauti na Iran katika upotevu huu, na hapa tunakusudia viongozi
 
said Nundu JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
463
500
Naposema wazungu hasahasa wale Wakristo wataendelea kuwa mbele kuliko waarabu wa Kiislamu huu ndiyo ushahidi. Wanachokifanya Wasunni na Washia leo hii kilifanywa na Wakatoliki na Waprotestanti miaka kama 300 iliyopita: Baada ya kuona tofauti za kidini hazina madhara yoyote zaidi ya kusababisha maumivu, mateso na vifo wakaamua kuachana nazo na kusonga mbele wakielekea mapinduzi ya viwanda mnamo karne ya 18 hadi 19.

Leo hii huyu aliyeandika makala hii ananishangaza kwa ufupi wake wa akili hasa pale anaposema Serikali ya Irani ilifanya makosa kuruhusu watu kutunga sheria au kuwa chanzo cha sheria. Hivi anafikiri hata The Caliphate ilikuwa inaongozwa na Kurani Takatifu peke yake ??

Hivi unadhani Sultan Salahadeen The Kurd aliyokuwa anasaini mikataba ya amani na Wakristo kule Yerusalemu zile kanuni za kisheria zilikuwa zimeandikwa kwenye vitabu vya dini au utashi wa kibinadamu ?? Nchi haiwezi kutawaliwa na sheria za kidini peke yake, Wakatoliki na janja yao yotee walijaribu yakawatokea puani na Ulaya ikajikuta imeingia kwenye vita ya dini ya miaka 30 (Thirty Years War) kisa tu ujinga wa mapadri kutaka kutumia vitabu vya dini kutawala.

Halafu upande wa pili wa shilingi, anaposema Iran inaua watoto kule Allepo anasahau kuangalia ni jinsi gani Saudi Arabia inachinja watoto kule Yemen. Kikubwa kuonesha hawa waandishi wa Hizbu Tahrir ni makanjanja anasahau kwamba uwepo wa Iran nchini Syria ni kwa mujibu wa sheria za kimataifa kwasababu aliombwa msaada na serikali ya Syria.

Anasahau kwamba walioua watu wengi kule Syria ni mataifa ya Kiislamu kama Qatar, UAE, Saudi Arabia na Uturuki. Wao ndiyo waliunga mkono makundi yanayochinja watu kama yale ya Al-Nusra Front na Daesh. Kama Iran asingeingia Syria basi leo hii ile nchi ingekuwa imevurugikiwa kabisa kama Libya, Afghanistan na Iraq. Sasa ninyi Hizbu Tahrir mnaona ni sawa kabisa Syria iwake moto bila sababu yoyote ile na Iran asisaidie kweli ??

Eti bwana Nundu hebu tusaidiane hapa....
Kwanza ilitakiwa uelewe na uweze kutofautisha mifumo Kama ubepari, ujamaa, na uislamu na Dini za kiroho Kama ukristo, ubudha, urastafari, ushinto, nk ili mazungumzo yetu yawe na tija
 
Kuwepo kwa Iran Syria,hakuhalalishi mauaji yao, pia ilitakiwa kabla ya kutanguliza chuki zako za kidini bila ya kujua unachoongelea, walau kujua msimamo wa uislamu juu ya hiçho ulichoita sheria za kimataifa
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,489
2,000
Kuwepo kwa Iran Syria,hakuhalalishi mauaji yao, pia ilitakiwa kabla ya kutanguliza chuki zako za kidini bila ya kujua unachoongelea, walau kujua msimamo wa uislamu juu ya hiçho ulichoita sheria za kimataifa
Nimekuuliza yale mauji yanayofanywa na Wasunni wa Saudi Arabia dhidi ya waislamu wenzao wa kule Yemen mbona huyalaani ??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom