IQ ya Marais wetu

Wewe ya kwako ngapi hata ukasema wenzako zao ndogo? Wacheni dharau na kujiona nyinyi ni wajuaji na wenye akili. Hao ni sawa na wazee wenu musisahau hilo.
Umenena kweli bitimkongwe, hatuna IQMeter hapa, hivyo hizo subjective assumptions ambazo zinafanywa zina amount kwenye kuwafanyia mizaha hawa wazee (soma Zaburi 1:1 - utaona wenye mizaha neno la MUNGU linavyosema). Nionavyo mimi mizaha ya namna hii ni reflection tosha ya low IQ pia... . Tukumbuke wakati kidole kimoja tunawanyooshea wao vinavyobako vinakuwa vinaelekea kwa mwenye mkono , nani mwenye makosa zaidi . haya ni maoni yangu, mwingine can argue against ...
 
Kama Uko serious na post hii... IQ yako itakua -ve!
 
Kama Uko serious na post hii... IQ yako itakua -ve!

umejitahidi kidogo kueleza kuhusu nyerere,mkapa na mwinyi kwa kuoanisha baadhi ya masuala ya msingi lakini kwa kikwete umechemsha,kutoa mfano wa IQ ya kikwete kwa kutumia mfano jamii forum kumeonesha ni kwa kiasi gani IQ yako ilivyo na uwalakini,uhuru wa kuongea na kutoa mawazo yenye tija kwa taifa peke yake bila kuwapo kwa nguvu ya msukumo katika kuyafanyia kazi masuala ya msingi yanayopigiwa kelele na watanzania inadhihirisha uwezo mdogo alionao rais wa ccm
 
Inawezekana ana IQ kubwa sana kwa jinsi anavyojishughulisha kuiangusha CCM,ametambua bila CCM kuachia hatamu maisha bora hayatapatikana kwa watz.
 

Wewe utakuwa huna IQ kabisa.
 
guys come on JK give him 130/160...please mnakula mnalala mnaamani mnafikiri inatoka wapi?its because of his great job that no one knows abt it...........LMAO
 
Wote mnaojadili mada hii mnapungukiwa hekima na fikra pevu.badala ya kujadili issue critical kama uhaba wa umeme,kupanda kwa bei za vyakula,kupanda kwa nauli,gharama kubwa za umeme n.k,nyie mnajadili maisha binafsi ya mtu.nani alikwambia IQ ndio kipimo cha kiongozi bora,mzalendo na mwadilifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…