Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 227
- 393
Mtu yoyote mwenye idea ya jinsi ya kupata link za tv channels kwenye iptv apps au ambae anauza link ya hizo channel anicheki pm 🙏
[🔥ONLINE TV chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua🔥Mtu yoyote mwenye idea ya jinsi ya kupata link za tv channels kwenye iptv apps au ambae anauza link ya hizo channel anicheki pm 🙏
Sihitaji subscriptions, mimi nashida na direct channel links
nimekupa link hapo juu ina channels za supersport, bein n.kSihitaji subscriptions, mimi nashida na direct channel links
mimi nashida na direct channel links, like link ya channel ya azam sportsNina iptv app, nina free channel zaidi ya elfu ishirini na jinsi ya ku add channel ipo open au mimi nipo tofauti na mleta mada
Link ya channel ya azam sports unayo, nikisema link namaanisha URLmimi nashida na direct channel links, like link ya channel ya azam sports
naona hakuna link mkuu lakini maana sikuwa nmeelewa wataka niniOkay shukrani ngoja nimcheki 🙏
Link ya channel ya azam sports unayo, nikisema link namaanisha URL
Kwa hiyo mkuu ili link iwe stable inapaswa itumike kupitia IPTV app kama vile OTT navigator?LINK UTAZIPATA MWISHONI ILA SOMA KWANZA HAYA YATAKUPA FAIDA ZAIDI.
SIKUSHAURI KUTUMIA URL LINK kwa maana ya m3u kwa sababu nyingi zinakuwa hazipo stable. Ushauri wangu tumia either portal connectivity kwa maana ya mac Id au Xtream code API ( Ingawa hii settings zake ni ndefu kidogo).
Sijui unatumia apps gani lakini miongoni mwa apps nzuri ni OTT navigator, VU Iptv player(pro), stbemu pro. Hizo zinakupa options nyingi za namna ya kuconnect either kwa mac Id, m3u link or Xtream codes.
Pia zipo apps nyingi ambazo tayari zishakuwa preloaded na specific links ambazo unalipia kwa mwaka (ila mimi nitakupa bure kwa sababu sifanyi biashara)
Sijui kama kuna option ya kuattach file kama file kwa maana ya apk ila fanya haya.
download hizi apps
1. forever tv (ntakupa subscription ya miezi 5)
2. Airmax tv ( nitakupa subscription ya mwezi 1)
Kisha tukirudi kwenye swali lako la link ya 4z4m ni hii hapa
ʀᴇᴀʟ ht tp:/ /exprestv.w in:80/c/
ᴘᴏʀᴛᴀʟ htt p:/ /expr estv.wi n:80/c/
ᴍᴀᴄ 00:1A:79:::**
exp_date May 28, 2025, 5:00 am
http://exprestv.win:80/get.php?user...ken=JHhsaIBC6r&sn2=&type=m3u_plus&output=m3u8
MAC ID nimezificha kwa sababu kila mmoja akitumia the same ID itakuwa shida kidogo.
So gonga like hapa kisha ni inbox nikupatie Mac Id, username na password. ( narudia tena, Sihitaji malipo)
Peace
Mkuu unashauri kutumia MAC IDs badala ya links,hizo MAC IDs nitazipata wapi?LINK UTAZIPATA MWISHONI ILA SOMA KWANZA HAYA YATAKUPA FAIDA ZAIDI.
SIKUSHAURI KUTUMIA URL LINK kwa maana ya m3u kwa sababu nyingi zinakuwa hazipo stable. Ushauri wangu tumia either portal connectivity kwa maana ya mac Id au Xtream code API ( Ingawa hii settings zake ni ndefu kidogo).
Sijui unatumia apps gani lakini miongoni mwa apps nzuri ni OTT navigator, VU Iptv player(pro), stbemu pro. Hizo zinakupa options nyingi za namna ya kuconnect either kwa mac Id, m3u link or Xtream codes.
Pia zipo apps nyingi ambazo tayari zishakuwa preloaded na specific links ambazo unalipia kwa mwaka (ila mimi nitakupa bure kwa sababu sifanyi biashara)
Sijui kama kuna option ya kuattach file kama file kwa maana ya apk ila fanya haya.
download hizi apps
1. forever tv (ntakupa subscription ya miezi 5)
2. Airmax tv ( nitakupa subscription ya mwezi 1)
Kisha tukirudi kwenye swali lako la link ya 4z4m ni hii hapa
ʀᴇᴀʟ ht tp:/ /exprestv.w in:80/c/
ᴘᴏʀᴛᴀʟ htt p:/ /expr estv.wi n:80/c/
ᴍᴀᴄ 00:1A:79:::**
exp_date May 28, 2025, 5:00 am
http://exprestv.win:80/get.php?user...ken=JHhsaIBC6r&sn2=&type=m3u_plus&output=m3u8
MAC ID nimezificha kwa sababu kila mmoja akitumia the same ID itakuwa shida kidogo.
So gonga like hapa kisha ni inbox nikupatie Mac Id, username na password. ( narudia tena, Sihitaji malipo)
Peace
Shukrani mkuu, kwa elimuLINK UTAZIPATA MWISHONI ILA SOMA KWANZA HAYA YATAKUPA FAIDA ZAIDI.