IPTV, BISS,IKS,POWERVU, Tandberg(satstar)

Sasa mkuu si utaje tu bei au mpaka twende tu amazon kununua huko?
 
How much per item. Mention a price and a place to get it
 
Habari wakuu wa nyumba. Mimi ni mpenzi na mtumiaji wa free to air channels kwenye madishi makubwa. Kwasasa natumia tiger T245+ pro ambayo nataka kuupdate kupanda kidogo kwani hii nataka kuihamisha. Sasa naomba mawazo ni ipi receiver Bora na ya kisasa kwa sasa. Asante

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kama huweki bei, au maelezo ya kueleweka sijui tukueleweje.
Hili ni tangazo, habari au taarifa?

Sent from my head using brain
 
how do i get your product and the mode of payment
 
No Cccam,no network, no subscription,all watch football live,Movie and Music...etc for FREE always by our box in South America and Africa ,Asia market.

Only need 90cm-120cm Ku sat dish or 180cm C band sat dish all FREE

So this Service available in SA?

Where will I get in Tanzania?

You didn't explain the continuity of the Service after one year free service.

When I got trouble where to report for assistance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…