IPTL kuomba leseni:Ufafanuzi wa EWURA

Lazima kuna kitu amefanya au kimefanywa cha kuifanya serikali imtumbue. Hata hivyo iko siku ukweli utatoka kwenye maficho yake!
Kuna sehemu nimesoma, wanasema kapandisha bei ya mafuta kwa shinikizo la wafanyabiashara...nadhani hili zimwi la IPTL linahusika.....tusubili.
 
Back
Top Bottom