IPTL Katika Picha: Jamani Wanajali.

Tugawane kidogo kdogo jaman mbona mnachukua zote peke yenu
 
Sio padre, mapadre wanavaa mashati ya kijivu na sio blue hiyo.
basi kumaliza ubishi tuseme ni mtumishi wa mungu, ama kwa lugha nyingine ni mchunga kondoo wa bwana!
 
jama jama sasa kama kila mtu alishakula keki ya taifa haya ndio yale mambo ya kesi ya ngedere mwamuzi nyani.
Wacha movie liendelee sterling atakufa au atasalimika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…