IPTL Katika Picha: Jamani Wanajali.

ongeren iptl kwa kuwajali wa tanzania
hachaneni nao hao wachumia tumbo ambao wanataka kuwachafua tu na kuwaludisha nyuma katika harakati zenu za kimaendeleo kuwasaidia watanzania
 
mkuu kumbe ata padri umjui anavaaje!!shame on u
nenda kanisani kaangalie mapadri wanavaaje then uje tena hapa

mkuu saa naenda kanisani kuchunguza mavazi ya padri au..afu mi ni mlengo tofauti
 
basi mgao hadi kwa wachungaji...siojaona mashehee


Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL Bw. Aidan Kaune (kulia) na Meneja maswakla ya kampuni wa IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta (katikati) wakikabidhi sehemu ya bidhaa zilizonunuliwa wakati wa karamu ya chakula kwa watoto yatima wapatao 500 kutoka vituo mbali mbali Dar es Salaam na Wilaya ya Kondoa, kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Kushoto ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak, ambao waliandaa karamu hiyo baada ya kufadhiliwa na IPTL.

http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/iptl-al-madinah-washerehekea-sikukuu-ya-eid-na-mayatima-500
 
hacha tamaa kijana

sio tamaa, kama watu walipewa kwenye magunia kwani mimi sio mtu. Kama zipo naomba chenji nikafanye mabo ya maana maana najua hata zikirudishwa zitapitia mlango wa nyuma. We hela za radar uliziona????? Tuliskia tu zimewekwa katika elimu sekta ambayo inazidi kufa kila siku. Iptl kama kuna mgao msinisahau, full stop.
 
hiyo inaitwa Corporate Social Responsibilities.....for good public image...(regardless)
 
Duh!! Hela za uma zilikuwa zinazunguka humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…