Waandishi wa habari wa Tanzania ni wavivu.
Uliona hata ile ajali ya kivuko walivyoripoti picha za uongo. Waliweka picha moja ya ajali ya boti huko bahari za mbali watu wakitapatapa wakawaaminisha watu ni picha ya ajali ya MV Nyerere. Wavivu sana hawa watu.