Ya kampuni gani maana siku hizi si apple tu..kuna kampuni nyingi wana ipod..pili unataka zenye ukubwa gani (GB ngapi)??mpya au used ??bajeti yako ni sh ngapi ??
Mimi ninayo ipod touch 2nd generations nataka laki mbili na nusu tu ina 32gb
Fanya 180,000 fasta nichukue mimi
Kaka hp wana ipod nzuri sana na inakuja kwa kasi sokoni inaitwa ipod citimzee naona umekosea kidogo. Ni kampuni moja tu ndio inayotengeneza i-devices(including ipod). Ulikosea uliposema kuwa kuna kampuni nyingi zinazotengeneza "IPOD". Nadhani Labda ungesema mp3 players
iPod + hp ni iPod za kampuni ya Apple na sio HP, sema wanauza kupitia network ya masoko ya HP,,Kaka hp wana ipod nzuri sana na inakuja kwa kasi sokoni inaitwa ipod citi
Kaka hp wana ipod nzuri sana na inakuja kwa kasi sokoni inaitwa ipod citi